Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

UKAWA wanavyoziona hiz picha wanapagawaa teh teh poleen
huku Missungwi ni MAGUFULI kwanza wabunge fanyeni kampeni
 
Haooooooo watuuuuuu wa mpandaaaaaaa

woteeeeeee wachekiiiiii vizuriiiiiiiiiii ni


UKAWAAAAAAAAAAAAA... kama una akili utajua
 
hapo wengi wamekuja kumwona jamaa alkyeshindwa kuwajengea barabara bora kijijini mwao......kama anaweza awape ruhusa wamuulize maswali ndo atajua wengi hapo wameshaichoka ccm
 
Mwacheni amfagilie lowasa njia hivi ccm itawaambieaje watanzania mana watanzania uwezo wa kufikiri ni mdogo sana
 
Mla, hakuna kitu. Ina maana nipo Moshi na nisimwone? Kaja kwa kuvizia labda!
 
Huo sasa ndio ukabila tunaousema. Yaani ccm ifutwe kwa kuwa chadema imeanzishwa na wachaga sio!
hapo sio uchagani hapo ni upareni kwenye ngome ya ccm lakini naona kama ni kikundi cha saccos wameitana kwa dharura. a.k.a gharika
 
Safi mama chapa kazi wewe ni mama mwema utamsaidia vema magufuli hasa kuweka bayana changamoto zinazowakabili wanawake wenzake.
 
Mwacheni amfagilie lowasa njia hivi ccm itawaambieaje watanzania mana watanzania uwezo wa kufikiri ni mdogo sana
Huyo fisadi mahakama yake inaandaliwa ajipange kujibu mashitaka yake ya ufisadi.
 
Hebu angalia hawa watu .......unafikiri wameenda kufanya nini pale uwanjani! angalia pia nguoa walizovaa !
Huku wengine wakiendelea na fani zao za maigizo katika Jiji la Dar-es-salaam kwenye daladala na sehemu za kazi za Mama Lishe, Mgombea Urais kwa Tiketi ya CCM, Magufuli ameendelea kuchanja mbuga vijijini ili kusaka kura na kuwaendeleza wananchi Ilani ya Uchaguzi 2015-2020.

#HapaKaziTu

Umoja ni Ushindi.

11950525_1670139259876744_2111597807_n.jpg

01.JPG

Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli akihutubia wakati wa mkutano wa kampeni
IMG_0173.JPG

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimtambulisha Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni
IMG_0191.JPG
 
[h=2][/h]
​
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan akilakiwa na wananchi baada ya kuwasili Ofsi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro leo.
​
Mbombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCMSamia Suluhu Hassan, akimtazama mtoto, alipokagua Kituo cha Afya cha Hedalu wilayani Same mkoani Kilimanjaro leo
​
Mgombea mwenza kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan akivishwa skafu na Kijana wa CCM baada ya kuwasili Ofisi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro leo ​
​
Mama Suluhu Hassan akisani kitabu baada ya kuwasili Ofisi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro. Kulia ni Mohammed Juma, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kilimanjaro
​
Mama Samia Suluhu akiwasili uwanja wa mikutano Shule ya Msingi Hedalu​
​
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo katika Uwanja wa Shule ya Msingi Hedaru, wilayani Same mkoani Kilimanjaro. Picha zote na Bashir Nkoromo, Same.

hakianani we umetekenyeka subiri kivumbi cha Edo ndo mtataharuki na kuvaa chupi kichwani
 
Sio kila anayekusanyika kwenye mikutano ya kampeni za ccm ni mwanaccm, wengine wanakwenda kusikiliza hoja ili wajiridhishe kabla ya kupiga kura kama mgombea anakidhi ubora. Hivyo kujazana siyo kigezo cha kukubalika. Mwamuzi ni oktoba.
 
Mbona Wananchi wamevaa nguo nyekundu??? Kweli UKAWA ni tatizo la Kitaifa!
 
Back
Top Bottom