Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Nalipa Kodi Kila mwezi so chini ya laki mbili lakini matishiwa eti nikimchagua mpizani hataleta maendeleo kwa kauli hiyo huyu anatugawa na kutubagua kazi kwangu 28/10/2020
 
Hiyo ipo kwenye ratiba, amekampeni awamu ya kwanza, anavuta pumzi kwa siku kadhaa kisha ataendelea...

Mbona nyie mgombea wenu alipumzika juzi hapa hadi kupata mida wa kufanya mahojiano na vyombo vya habar na haikuwa hoja iweje leo magu apumzike muishikie bango?

Tulieni tuwanyooshe kwny sanduku la kura ndo mtajua hamjui!
 
Dr. Magufuli umri umesogea. Mwenzie Kikwete alidondoka jukwaani. Mwacheni apumzike kidogo then aendelee.
 
Vipi, mzee anaendeleajeee?
Bashite mtu mbaya sana kwa Jiwe , akiendelea kumdekeza na hao waganga siku moja atakuja zimika moja kwa moja! Muweke kando Bashite moja kwa moja he is going to blackmail you if he hasn’t already!!
 
Dr. Magufuli umri umesogea. Mwenzie Kikwete alidondoka jukwaani. Mwacheni apumzike kidogo then aendelee.

Jiwe sio mtu wa umri mkubwa; tatizo lake he cannot handle stressful situations na ndio maana mara nyingi anakuwa mkali!
Inawezekana kuwa kweli betri yake huwa inapungua charge hivyo anakuwa disorientated!!
 
Jiwe sio mtu wa umri mkubwa; tatizo lake he cannot handle stressful situations na ndio maana mara nyingi anakuwa mkali!
Inawezekana kuwa kweli betri yake huwa inapungua charge hivyo anakuwa disorientated!!
Tatizo mwili wake unatema sumu sana na ukiangalia tena ni mtu wa lile jibwana basi na linaelekea mwishoni ni tabu tupu!
 
Missile of nation so alikuwa Mbeya? Ina maana katoka Mbeya kwenda kupumzika?
 
Pumzi imekata! Lissu hafai aisee!! Alijua mwaka huu atateremka tu mlima kitonga! Kisa amenunua ndege na kujenga flyovers. Alichokutana nacho, hatokuja akisahau kamwe.

Hili ndilo somo sahihi la kudhani maendeleo ni VITU pekee!
Kwa akili ndogo ya Jiwe, hawezi kutambua kuwa wapambe wake wanaomuita Yesu walikuwa wanamdanganya awateue. Kama hajatambua kuwa wanaomzunguka ni wanafiki, basi kutakuwa na tatizo upstairs! Nashauri awafukuze wrote wanaomshangilia na yeye aache tabia ya kutaka kusifiwa!
 
I knew it since The beginning of Elections, ccm can't withstand this heavy stopa Mr Lissu.
 
Upinzani umejengwa mioyoni mwa watu kwa sababu ya uonevu, ukandamizaji, upendeleo, ubaguzi, ukabila ukanda, utekaji, utesaji, dharau kiburi na uuaji. Hamna amabaye hajaona haya yakiendelea mchana kweupeee sasa wakulamiwa hawezi kuwa waliyemuua akarudishwa na Mungu au Chama cha siasa
 
Vibendera kujidanganya nakujipa upepo ndio kazi
Humu ninId tano tano hahaha
Mpo hali mbaya na pigo mtakalo pokea mtahistoria
 
Yesu , amechoka πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Mungu lazima awalipe mshahara wa matendo yenu yakujifananishana na Yesu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…