Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Hata aibu huna! Yaani, unatumia unyang'anyi na uhuni uliotumika kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa kama kigezo cha Magufuli kushinda? Hivi hujui hata hao wenyeviti walioshindishwa hawamtaki aliyewashindisha? Hata wenyewe maumivu yaliyosababishwa na awamu ya tano yamewagusa
 
Your browser is not able to display this video.
 
Chadema hadi wasanii imewakataa,vyombo vya habari haviwataki

Chadema magundu

Lugha chafu za lissu anatukana kila mtu kwa kujivunia uraia wa ubeligiji Ndio iliyoifikisha Chadema apo
Nyinyi tumieni wasanii sisi pilau na kuku [emoji23] [emoji23] [emoji23] msikimbilie tu kule Tume ili wawasaidie kwa madai kwamba pilau na kuku ni rushwa....
 
Chato kumenoga hiyo kesho.
 
Attachments

  • Lumumba Buku 7.jpg
    20.8 KB · Views: 1
  • magu.jpeg
    128.6 KB · Views: 1
Hongera kwa kufuatilia mambo ya CCM kesho usibanduke kwenye Tv yako
 
Sifa moja wapo ya wanachama wa ccm ni kuwa wastaarabu wewe huoni kama sio jambo la hekima kutaja matusi hadharani?
wacha wee... haya bana, but mwenyekiti wetu mbona huwaga anaongeaga matusi hadharani?
embu nikukumbushe hapa chini...
- mwanamke kupanuliwa
- barakoa ni kama sidiria za matiti
- wapenzi kufanyana bila kubusiana

sasa, taja 1 tu la mpinzani wetu Lissu!
 
Tamasha jingine hilo la muziki hata sisi wana CDM tuhudhurie huku tukihifadhi kura zetu kwa mwapinduzi Tundu Antipas Lissu.
Chadema hadi wasanii imewakataa,vyombo vya habari haviwataki

Chadema magundu

Lugha chafu za lissu anatukana kila mtu kwa kujivunia uraia wa ubeligiji Ndio iliyoifikisha Chadema apo
Uchaguzi huu hatutatumia wasanii kufanya kampeni, tutatumia band yetu ya T.O.T. Hii ni kwasababu ya kupunguza matumizi ya fedha katika kampeni zetu CCM. - katibu Mkuu
Chama cha wananchi kinaonesha uchafuzi sahihi na matumizi mabaya ya fedha za walalahoi
CHADEMA hawafanyi matamasha ya fiesta
Siasa Hawaziwezi
Msajili Alitakiwa Haraka Sana Kukifuta Hiki Kinachotumia Wasanii. Kinatoa Hongo
Kumbe fiesta inatikisa Chato kesho.
Kwasababu chadema mmezoea matusi basi unataka kila mtu atukane. Matusi hayatajwi yanatukanwa
 
Chadema hadi wasanii imewakataa,vyombo vya habari haviwataki

Chadema magundu

Lugha chafu za lissu anatukana kila mtu kwa kujivunia uraia wa ubeligiji Ndio iliyoifikisha Chadema apo
Aliwatukana wasanii kuwa wakienda Ubelgiji wakiongea kiingereza, Lissu anajificha uvunguni kwa aibu.
 
Yafaa tuujue uzalendo wao.
 
Chadema hadi wasanii imewakataa,vyombo vya habari haviwataki

Chadema magundu

Lugha chafu za lissu anatukana kila mtu kwa kujivunia uraia wa ubeligiji Ndio iliyoifikisha Chadema apo
Hakuna wasanii, Leo Iringa
 
Sasa kama hayo ni matusi basi neno matusi litakuwa limepoteza maana yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…