Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Atawaeleza nini wana Kagera?Ile kampeni ya mgombea Urais wa JMT kupitia CCM ndugu John Magufuli haitokuwepo leo.
Inasemekana kesho ndiyo ataelekea huko.
Sawa tuIle kampeni ya mgombea Urais wa JMT kupitia CCM ndugu John Magufuli haitokuwepo leo.
Inasemekana kesho ndiyo ataelekea huko.
Wana Kagera sijui mna mkosi gani?"kwani mimi ndiyo nilileta tetemeko"
-JPM
Sera yake itakuwa shule kuunguaWana Kagera sijui mna mkosi gani?
Tetemeko nyie,vita vya Kagera nyie, ukimwi nyie, Katerero nyie. Alisikika mlevi mmoja huko kilabuni
NjooKule atawaambia kuwa serikali haikuleta tetemeko. Yaani Kagera wakimpa kura Baba Jerry nitawashangaa sana tena sana.
Na kuahirishiwa kampeni nyie!Wana Kagera sijui mna mkosi gani?
Tetemeko nyie,vita vya Kagera nyie,ukimwi nyie,Katerero nyie...alisikika mlevi mmoja huko kilabuni
Kwani tokea litokee tetemeko hajawai kwenda huko? sub unadhani tetemeko lilitokea mkoa wote wa Kagera.Atawaeleza nini wana kagera???
Kawatukana, kala hela zao za tetemeko, kamtesa mtoto wao Kabendera hadi mama yake amefariki na mbaya zaidi hakumruhusu hata kwenda kumzika
Amewai kwenda kule lini kupiga kampeni???Kwani tokea litokee tetemeko hajawai kwenda huko? sub unadhani tetemeko lilitokea mkoa wote wa kagera.
Magufuli hata salamu za rambirambi hajatoa. Mwenzake Tundu Lissu alitoa tangu jana yeye kapiga kimya tuKafanya VIZURI ishu ni msiba wa wanafunzi wa ajali ya moto
Subiri nyomi lake, watu tutaanzia Katerero, Rwambaizi hadi Kilulumile kote mpaka Karagabaine! Kabendera kitu gani kuwadi wa beberu huyo! Meli tunapanda, sababu ya Magu, kapanua uwanja wa ndege, ATC precision zinapishana kama daladala! Hatuambiwi hatusikii wapinga maendeleo, Magu tano tena!Atawaeleza nini wana kagera???
Kawatukana, kala hela zao za tetemeko, kamtesa mtoto wao Kabendera hadi mama yake amefariki na mbaya zaidi hakumruhusu hata kwenda kumzika
Sizungumzii kampeni nazungumzia kwenda kwenye ziara za kikazi,na ata akienda Leo atapokelewa tu na watu wote muwe mnajaribu basi kufanya uchunguzi mitaani kuuliza wananchi nani watamchagua maana mitandaoni upotoshaji ni mwingi sana, nakushauli nenda vijiweni ,masokoni, migahawani, kwenye bodaboda na mitaani kila eneo wahoji watu kwa siri angalau 10 kila eneo alafu utapata majibu,unaoona wamejaa kwenye mikutano hao ni wale wale tuliowazoea ambao wanamsemo wao 'BORA KUZALIWA ULAYA MBWA KULIKO AFRIKA BINADAMU" hivyo jipe home work ya muda mfupi alafu lete mlejesho.Amewai kwenda kule lini kupiga kampeni?