Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani uliambia magufulia ameacha kutengeneza miundo mbinu ? Ndege tume nunua na miundo mbinu tunatengebeza.Kwani kabla ya magufuli kununua ndege watu walikua wanapanda bajaji kwenda marekani?
Tunazungumzia hizo pesa alizonunua hiyo midege kulikua hakuna umuhimu wowote kuunguza pesa kwa ajili ya midege ambayo asilimia 80 ya wananchi hawajui hata nauli yake.
Hizo pesa angeweza kuzitumia kufanya miundombinu itakayo mnufaisha mwananchi wenye hali ya chini. Mtu anaye panda ndege kwenda nchi za kimataifa huwezi kumuweka kwenye kundi la watu maskini ambao milo mitatu kwao ni shida.
Ijumaa msafara wa Rais ukitoka mji wa Geita kuelekea chato , uligonga mtoto mdogo eneo la chibingo nje kidogo ya mji wa katoro na alifariki papo hapo. Unaambiwa msafara haukusimama na hakuna msemaji aliyesema kitu Hadi Sasa na mtoto amezikwa kimya kimya . Ccm Wana laanaCCM mna laana nyie. Magufuli yuko kanda ya Ziwa Victoria ambako usiku wa kuamkia leo malaika wadogo wamepoteza maisha kwakuunguzwa na moto (kwakuunguzwa na moto) huko Kagera.
Ila bado wako jukwaani na wasanii wanakata mauno. Hivi hawana hata chembechembe ya huruma? Hata tamko hakuna wakati ndo wenye mamlaka?
Kwanini ndani ya muda mfupi hii ni shule ya tano ya Waislam kuwaka moto?
Kwanini Rais asionyeshe msisitizo hata kwa unafiki kukemea jambo hili na kuagiza suluhisho la haraka?
Yeye kujibu hoja za Lissu anaona sifa ila kuwaza wanetu wanaochomwa kama mishkaki mabwenini hataki hata kuwaza.
Iko Siku Mungu atashuka mwenyewe.
Innaa liLlaah wa innaa ilayh rajiu'wnIjumaa msafara wa Rais ukitoka mji wa Geita kuelekea chato , uligonga mtoto mdogo eneo la chibingo nje kidogo ya mji wa katoro na alifariki papo hapo. Unaambiwa msafara haukusimama na hakuna msemaji aliyesema kitu Hadi Sasa na mtoto amezikwa kimya kimya . Ccm Wana laana
Nimemuonea huruma Magufuli anavyomchokoza Lissu, jamaa likishusha nondo tena uvccm muanze kuhangaika mitandaoni. Mwambieni Bashiru anapowaagiza kujibu hoja amshauri na mzee apunguze kuongelea kila kitu. Akuoneeni huruma.Naona awamu hii Dr Magufuli amedhamiria kujibu mapigo ya washindani wake moja kwa moja.
Mosi, huwezi kuongoza nchi bila kutoza kodi msidanganywe.
Pili, ndege zimenyanyua mapato ya utalii hata huyo anayebeza ndege za ATCL aliporudi nchini alipanda bajaj?!
Kiukweli sasa ndio kampeni zimeanza rasmi.
Maendeleo hayana vyama!
Sema unamkubali Tundu Lissu Buana...! [emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nakuonea huruma
Nani amkubali huyo kibaraka?Sema unamkubali Tundu Lissu Buana...! [emoji23][emoji23]
Utajua Haujui. Usinifokee bhasi au kisu kimepenya kwenye ugoko?Nani amkubali huyo kibaraka?
Kampeni zinaendelea kwa kasi sana, na mambo mengi yanaendelea kila kukicha.
Kuna mengine yanaudhi na mengine yanafurahisha, lakini mwisho wa siku bado nchi yetu ni salama kwa hilo tumshukuru sana Mungu.
Rais Magufuli amekasirishwa sana na majungu anayopigwa juu ya uwanja wa Chato, wengine wanaweza wasipendwe na uamuzi wa uwanja wa ndege pale Chato lakini lazima tujue Chato ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, panastahili kila kitu cha maendeleo.....
UVCCM kazi kwenu,toeni majibu ya haya maswali acheni kupiga filimbi.Usitupoze wewe majibu bado hapa
- Ni faida kiasi gani ndege hizo zinaleta kwa taifa?
- Kwanini amehamishia ndege kwenye kasma namba 20 ambayo haikaguliwi na CAG kama ambayo mashirika mengine ya umma yanakaguliwa?
- Kwanini hataki kuweka wazi mikataba ya manunuzi ya ndege?
- Kama anaweza kusafiri na gari nchi nzima wakati wa kampeni anashindwaje kusafiri kutoka mwanza airport mpaka chato?
- Baada ya yeye kumaliza uraisi huo uwanja utatumika kwa kazi gani?
- Kwa kuwa makampuni yote duniani hayanunui ndege za abiria kwa hela taslimu ( commercial aircraft leasing agreement ) ili kuweza kumudu mtaji na gharama za uendeshaji. Je biashara hii inaweza kuhimili ushindani sokoni?
- Mbona anakuwa anatoa majibu kiukali kwani kuna nini vile?
- Asititufokee, lazima ajue sisi ndiyo tunamlipa mshahara na kiinua mgongo mara akistaafu.