Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nakuonea huruma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nakuonea huruma
Baada ya kupata hela nyingi zilizo tokana na miradi yao iliyokuwa imepokwa na mafisadi, na mfuko wa CCM kutuna wakaona watoe ajira kwa vijana kupitia usanii wao, hongera CCM mnawajali vijana. Hongera Katibu mkuu Dr. Bashiru
Kwa hiyo hapo ndiyo unadai kwamba hoja zimejibiwa!?Naona awamu hii Dr Magufuli amedhamiria kujibu mapigo ya washindani wake moja kwa moja.
Mosi, huwezi kuongoza nchi bila kutoza kodi msidanganywe.
Pili, ndege zimenyanyua mapato ya utalii hata huyo anayebeza ndege za ATCL aliporudi nchini alipanda bajaj?!
Kiukweli sasa ndio kampeni zimeanza rasmi.
Maendeleo hayana vyama!
Hapo umeonjeshwa tu bwashee!Kwa hiyo hapo ndiyo unadai kwamba hoja zimejibiwa!?
Hajajibu swali,anauliza ndege zikinunuliwa kiasa gharama gani? Je shirika la ndege linaendesha kwa faida? Je CAG amelikagua shirika la ndege lini? Je Sasa ndege zilizonunuliwa zinasafiri kwenda nchi gani?Naona awamu hii Dr Magufuli amedhamiria kujibu mapigo ya washindani wake moja kwa moja.
Mosi, huwezi kuongoza nchi bila kutoza kodi msidanganywe.
Pili, ndege zimenyanyua mapato ya utalii hata huyo anayebeza ndege za ATCL aliporudi nchini alipanda bajaj?!
Kiukweli sasa ndio kampeni zimeanza rasmi.
Maendeleo hayana vyama!
Tuanzie kwenye kodi kwani kuna mgombea yeyote aliesema hatakusanya kodi?kupotosha wakati mwengine kunashusha heshima mana unaonekana muongo😂😂😂😂😂Naona awamu hii Dr Magufuli amedhamiria kujibu mapigo ya washindani wake moja kwa moja.
Mosi, huwezi kuongoza nchi bila kutoza kodi msidanganywe.
Pili, ndege zimenyanyua mapato ya utalii hata huyo anayebeza ndege za ATCL aliporudi nchini alipanda bajaj?!
Kiukweli sasa ndio kampeni zimeanza rasmi.
Maendeleo hayana vyama!
CCM mna laana nyie. Magufuli yuko kanda ya Ziwa Victoria ambako usiku wa kuamkia leo malaika wadogo wamepoteza maisha kwakuunguzwa na moto (kwakuunguzwa na moto) huko Kagera.Naona awamu hii Dr Magufuli amedhamiria kujibu mapigo ya washindani wake moja kwa moja.
Mosi, huwezi kuongoza nchi bila kutoza kodi msidanganywe.
Pili, ndege zimenyanyua mapato ya utalii hata huyo anayebeza ndege za ATCL aliporudi nchini alipanda bajaj?!
Kiukweli sasa ndio kampeni zimeanza rasmi.
Maendeleo hayana vyama!
Kwa hiyo siku alizokuwa mapumzikoni alikuwa anatafuta majibu ya hoja za Lissu ?Sasa Lissu akija na hoja nzito zaidi(ambazo zipo lukuki) si itabidi ajitoe kabisa kwenye uchaguzi? Wakati mwingine mnakuwa na kiherehere cha kujifanya kumsaidia kumbe ndiyo mnazidi kuharibu.Naona awamu hii Dr Magufuli amedhamiria kujibu mapigo ya washindani wake moja kwa moja.
Mosi, huwezi kuongoza nchi bila kutoza kodi msidanganywe.
Pili, ndege zimenyanyua mapato ya utalii hata huyo anayebeza ndege za ATCL aliporudi nchini alipanda bajaj?!
Kiukweli sasa ndio kampeni zimeanza rasmi.
Maendeleo hayana vyama!
Mwache ajichanganyeKosa kubwa la kiufundi atakalofanya huyu mzee wangu ni kuanza kujibu hoja za Lisu!
Na kama kweli amedhamiria kuzijibu nadhani sehemu muafaka kabisa ni kwenye mdahalo wa wawili hao!!
Hayo maswali atajibiwa na Matindi wa ATCL!Hajajibu swali,anauliza ndege zikinunuliwa kea gharama gani? Je shirika la ndege linaendesha kwa faida? Je CAG amelikagua shirika la ndege lini? Je Sasa ndege zilizonunuliwa zinasafiri kwenda nchi gani?
HahahaaNaona awamu hii Dr Magufuli amedhamiria kujibu mapigo ya washindani wake moja kwa moja.
Mosi, huwezi kuongoza nchi bila kutoza kodi msidanganywe.
Pili, ndege zimenyanyua mapato ya utalii hata huyo anayebeza ndege za ATCL aliporudi nchini alipanda bajaj?!
Kiukweli sasa ndio kampeni zimeanza rasmi.
Maendeleo hayana vyama!
Mzee mgaya sisi wafanyabiashara ndo tunajua jinsi Kodi kubwa zinavyo ya biashara, pia Kodi zinadumaza biashara tunahitaji kupunguza kkodi na mfumo wa Kodi utakao ongeza tax baseNaona awamu hii Dr Magufuli amedhamiria kujibu mapigo ya washindani wake moja kwa moja.
Mosi, huwezi kuongoza nchi bila kutoza kodi msidanganywe.
Pili, ndege zimenyanyua mapato ya utalii hata huyo anayebeza ndege za ATCL aliporudi nchini alipanda bajaj?!
Kiukweli sasa ndio kampeni zimeanza rasmi.
Maendeleo hayana vyama!
Bwashee hapa Moshi kwa miaka zaidi ya 30 tulikuwa hatuna treni lakini sasa tunayo.Kwa hiyo siku alizokuwa mapumzikoni alikuwa anatafuta majibu ya hoja za Lissu ?Sasa Lissu akija na hoja nzito zaidi(ambazo zipo lukuki) si itabidi ajitoe kabisa kwenye uchaguzi? Wakati mwingine mnakuwa na kiherehere cha kujifanya kumsaidia kumbe ndiyo mnazidi kuharibu.
Hivi Lisu ni nani?Kosa kubwa la kiufundi atakalofanya huyu mzee wangu ni kuanza kujibu hoja za Lissu!
Na kama kweli amedhamiria kuzijibu nadhani sehemu muafaka kabisa ni kwenye mdahalo wa wawili hao!!