Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Hayo ameyasema raisi Pombe, muda siyo mrefu kwenye kampeni zinazoendekea mkoani Singida, nanukuu.

"Elimu ni bure, wakinamama zaeni hakuna haja ya kupanga uzazi, matiti ya kunyonyesha mnayo, wanaume wa kuwapeni mimba wapo."

Toa maoni je ni kweli kupanga uzazi hakuna maana kama wataalamu wanavyo shauri, hii siyo mara ya kwanza Magufuli kuwaambia watanzania kuwa zaeni, msipange uzazi.
 
Kwani fedha mlizokuwa mnawakata wabunge wenu mmepeleka wapi??
mtajijua na shida zenu sisi tupo #kazini
 
Sasa hizo ndio sera za CCM! Ni sera za kimaskini kabisa, serikali inahenya kutoa huduma za msingi za kijamii kwasababu ya population kubwa ya watu, alafu katikati ya shida zote hizo mtu anahamasisha watu wazaane kama panya na ndege wa porini!
 
Kwa hiyo taasisi ya UMATI imefungwa,watafute kazi nyingine?
 
Tatizo liko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…