Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Mnyampara wa mabarabara wewe ulisokomezwa kuwa rais, eboo usitofokee sie tunaenda na lissu!
 
Mbaguzi Sana huyu Tena badala kuomba kura anafokea wapiga kura
 
Kuna mgombea huko kwenye kampeni, jana aliwaambia hivyo watu waliokuwa wanamuomba barabara. Hilo lilikuwa jibu mujarabu.

Siasa za mwaka huu ni burudani ya aina yake
 
Kuna mgombea mwingine akaibua aina mpya ya kodi huko Sumbawanga,

Akadai kuna kodi ya Mimba,

Nadhani ataitumia hiyo kufidia zile alizosema atazifuta,

Kina mama jiandaeni kutozwa kodi kila mnapopata mimba Chadema wakishika madaraka.
 
Uyo mzee ana madharau sana ila watu wa lumumba wana jifanya hawajui
 
Na wewe unaandika kama unakojoa!!! tulia elezea ilivyokuwa tukuelewe!. Taja ni nani, chama gani, wapi, , aliulizwa swali gani, akajibu nini.
 
Anazidi kuchochea moto ana kuwatia wananchi hasira. Oct 28 hataamini macho yake.
 
Kuna mgombea huko kwenye kampeni, jana aliwaambia hivyo watu waliokuwa wanamuomba barabara. Hilo lilikuwa jibu mujarabu.

Siasa za mwaka huu ni burudani ya aina yake
Ana mdomo mchafu sana yule mzee, hana hadhi ya kuwa hata mwenyekiti wa serikali ya mtaa achilia mbali kuwa rais wa nchi!
 
CCM kumekucha kampeni za nguvu zenye hoja za nguvu zenye ushahidi verifiable tukisema tumefanya hiki mwenye macho haambiwi tazama Kama ndege anaziona live,Kama hospital anaziona live ,Kama barabara anaziona live Kama elimu bure anaona live.kama Umeme Hadi vijijini anaona live

Ahadi za CCM sio hewa Kama za upinzani za Ohhh tukishika kila mtanzania atakula ubwabwa!!! Oh tutahakikisha kila mtanzania akitaka kuporomosha matusi anaporomosha atakavyo!!! Ahadi za kitapeli tapeli hewa!!!!
Achaani upimbi mbuzi wa Lumumbaa hamna kipya nchi hii chini ya Meko zaidi Ya kuigawa Tz vipande vipande, ukabila, ifisadi, maauaji, umasikini kila kona roho mbaya sana
 
Kusikiliza Hotuba ya Magufuli, unahitaji uvumilivu mkubwa Sana.

1.Akiwa hapa, anakwambia Maendeleo hayana Chama.

2. Akienda kule Anasema hakuna Maendeleo kwa sababu watu hawakuchagua CCM!

3. Akienda huku Anasema msinichanganyie. Ukichanganya betri na gunzi taa haiwaki

4. Akiwa kwingine analalamika Serikali ya Chadema kupandisha Umeme!

5. Akiwa kwingine anakwambia; hatukuwa hapa. Tumefanya makubwa.

Binafsi huwa sielewi Hotuba zake na nikiri hivi Sasa nashindwa kufuatilia Hotuba zake kwa sababu ananichanganya
 
Sasa umejuaje kama amechanganyikiwa kama unashindwa kufatilia hotuba zake?
Unafatilia za nn kamazinakuchanganya acha unafiki ww?
Vingine kaa navyo moyoni sio kuleta ujinga tu jukwaani hapa...
 
Hujui kwamba anatembea na first aid kit pembeni?
Screenshot_20200916-164918_1600279653860.jpg
 
Back
Top Bottom