Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Ngoja wazae watoto waje wale miundo mbinu
 
Wacha jeshi lenye nguvu na uzoefu mipango thabiti washambulie pande zote kuu nne wao wamebaki kugandana kama luba colabo ya lissu na mwalimu haiuzi!
 
Aliyesema Kazaeni mkaijaze Dunia ndiye aliyeweka uzazi nyongani na ndiye aliyeumba Vyote na kuamuru hivyo

Uwoga wa kutokumwamini Yeye aliyesema hayo na ndiye muumbaji wa Vyote! ndio chanzo cha matatizo yote yaliyopo duniani hapa

Wamama kuwa na magonjwa mengi, vimbe, kansa na magonjwa kibao Ndiyo matatizo yatokayo na kuwepo mpango wa uzazi, huku wanaume wakiendelea na Afya zao kisa Tu wao hawaweki vijiti na kuchoma masindano ya uzazi wa mpango

Magufuli Yuko Sawa, ukiondoa hofu ya namna gani maisha yatakuwa
 
Sera za ccm bana, utadhani uchawi
 
Hivi huyu jamaa zinamtosha kichwani kweli? Tumechagua rais timamu kweli? Mbona hana kauli za kiungozi?

Najuta kumfahamu.
na bado anasema hasomeshi wazazi ila hizi kauli bana
 
Makamu wa Rais ni just celemonial leader na wote wanakuaga very weak km alivyo mama Samia.....
Hiki cheo ni cha kuondoa inabidi kuwe na Rais na pm wanatosha
 
Lakini walichangishana(wabunge) wakapata mbesa ya kutosha, bado vyama kama CDM vina ruzuku ya kutosha kabisa. Wamuachie Salum Mwalimu anadi sera za chadema maana pesa ipo.
 
Hivi huyu jamaa zinamtosha kichwani kweli? Tumechagua rais timamu kweli? Mbona hana kauli za kiuongozi?

Najuta kumfahamu.
Mimi nimeshayaona hayo zamani ni hapohapo Singida alisema kuwa yeye ni mkuu wa Malaika na ni jiwe kwelikweli sasa hayo maneno si yametoka kwa mtu mwenye matatixo ya Akili
 
Tunaweza kucheka na kushangilia kumbe ni maradhi ambayo hayajapatiwa tiba

Jr[emoji769]
 
Kuzaa watoto wengi pia ni uzazi wa mpango.
UNA AKILI NYINGI SANA KUSHINDA AKILI ZA WANA UFIPA WOTE. NI BORA TU WANGEKUKODI ULAGOMBEE URAIS KAMA WALIVYOFANYA 2015 KUKODI LOWASSA. SASA WANA HANGAIKA NA LISSU KILA MARA ANALIA NA RISASI BADALA YA KUMWAGA SERA

NI KWELI ANAEZAA WATOTO 2 AMEPANGA, NA ANAEZAA 20 KAPANGA, KWAHIYO TUSIPANGIANE WALA KUMFOKEA JPM
 

Leo Dkt. Magufuli, mgombea Urais kupitia chama cha mapinduzi yuko viwanja vya Bombadia vilivyopo manispaa ya Singida mkoani Singida kwenye kuendeleza ngwe yake ya kampeni. Leo ametokea mkoani Dodoma na alisimama vituo vitatu vidogo vya Bahi, Ikungi na Manyoni kabla hajafanya mkutano mkubwa wa kampeni mkoani Singida.

Kuwa nami kukujuza yanayojiri kutoka viwanja hivi vya Bombadia.

========
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…