Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja wazae watoto waje wale miundo mbinuHayo ameyasema raisi Pombe, muda siyo mrefu kwenye kampeni zinazoendekea mkoani Singida, na nukuu.
Elimu ni bure, wakinamama zaeni hakuna haja ya kupanga uzazi, matiti ya kunyonyesha mnayo, wanaume wa kuwapeni mimba wapo.
Toa maoni je ni kweli kupanga uzazi hakuna maana kama wataalamu wanavyo shauri, hii siyo mara ya kwanza Magufuli kuwaambia watanzania kuwa zaeni, msipange uzazi.
Wacha jeshi lenye nguvu na uzoefu mipango thabiti washambulie pande zote kuu nne wao wamebaki kugandana kama luba colabo ya lissu na mwalimu haiuzi!View attachment 1555287
A very well organised campaign strategy yaani wakati Mh Rais John Pombe Magufuli akitingisha Mkoa wa Singida na viunga vyake...kule mji kasoro bahari Mama Samia Suluhu anainadi ilani ya CCM akiwa kama kielelezo cha uwezo wa wanawake katika Siasa.
#Tulionjeshwatu
Sera za ccm bana, utadhani uchawiHayo ameyasema raisi Pombe, muda siyo mrefu kwenye kampeni zinazoendekea mkoani Singida, na nukuu.
Elimu ni bure, wakinamama zaeni hakuna haja ya kupanga uzazi, matiti ya kunyonyesha mnayo, wanaume wa kuwapeni mimba wapo.
Toa maoni je ni kweli kupanga uzazi hakuna maana kama wataalamu wanavyo shauri, hii siyo mara ya kwanza Magufuli kuwaambia watanzania kuwa zaeni, msipange uzazi.
na bado anasema hasomeshi wazazi ila hizi kauli banaHivi huyu jamaa zinamtosha kichwani kweli? Tumechagua rais timamu kweli? Mbona hana kauli za kiungozi?
Najuta kumfahamu.
Kaa utafakari!Singida Magufuli amesema mkiwachagua wale wanaotukana watakata kata ndege na kufanya mascrepa. Magufuli unamuona Lissu ni mtu wa kukata kata ndege au una Lissu phobia?
Lakini walichangishana(wabunge) wakapata mbesa ya kutosha, bado vyama kama CDM vina ruzuku ya kutosha kabisa. Wamuachie Salum Mwalimu anadi sera za chadema maana pesa ipo.Kila mtu ana staili yake ya kupiga campein.
CCM wanatumia rasilimaliza Dola.
Upinzani unatoa fedha mifukoni mwao.
Huwezi linganisha kamwe.
CCm wanapiga campeni kama erikali wakiandamana na Protokali ya Polisi ,usalam wa taifa na jeshi la ulinzi.
Upinzania wanategemea mabaunsa, hawana hata mgambo, na pia figisu za Mapolisi zikiwa zina wasubiri njiani.
Mimi nimeshayaona hayo zamani ni hapohapo Singida alisema kuwa yeye ni mkuu wa Malaika na ni jiwe kwelikweli sasa hayo maneno si yametoka kwa mtu mwenye matatixo ya AkiliHivi huyu jamaa zinamtosha kichwani kweli? Tumechagua rais timamu kweli? Mbona hana kauli za kiuongozi?
Najuta kumfahamu.
Daah! Tanzania tulikuwa likizo ya kiuongozi kwa miaka 5Mimi nimeshayaona hayo zamani ni hapohapo Singida alisema kuwa yeye ni mkuu wa Malaika na ni jiwe kwelikweli sasa hayo maneno si yametoka kwa mtu mwenye matatixo ya Akili
Tunaweza kucheka na kushangilia kumbe ni maradhi ambayo hayajapatiwa tibaHayo ameyasema raisi Pombe, muda siyo mrefu kwenye kampeni zinazoendekea mkoani Singida, nanukuu.
"Elimu ni bure, wakinamama zaeni hakuna haja ya kupanga uzazi, matiti ya kunyonyesha mnayo, wanaume wa kuwapeni mimba wapo."
Toa maoni je ni kweli kupanga uzazi hakuna maana kama wataalamu wanavyo shauri, hii siyo mara ya kwanza Magufuli kuwaambia watanzania kuwa zaeni, msipange uzazi.
UNA AKILI NYINGI SANA KUSHINDA AKILI ZA WANA UFIPA WOTE. NI BORA TU WANGEKUKODI ULAGOMBEE URAIS KAMA WALIVYOFANYA 2015 KUKODI LOWASSA. SASA WANA HANGAIKA NA LISSU KILA MARA ANALIA NA RISASI BADALA YA KUMWAGA SERAKuzaa watoto wengi pia ni uzazi wa mpango.