Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Ila nasikia huko mikoani kwa mtumishi wa umma kuto kuhudhuria kampeni za wagombea wa sisiem ni suala la kinidhamu.so ninaochokiona ni hiki wanaohudhuria huenda wanaogopa adhabu isijulikana ya utovu wa nidhamu.Ila hao wanohudhuria sasa kuna kitu watafanya independently kwenye sanduku la kura kwa sababu kule hakuna identity.
 
Naam, malori ya mchanga na mabasi yakileta watu toka Moro, Pwani, Lindi, nk lazima wajae mjini. Na wafanyakazi wakilazimishwa kuhudhuria na shule zikafungwa ili watoto wa shule wawepo, lazima mji usimame.
Hawa ni fisi maji?,bila hii mbinu mngeumbuka mapema sana
 
Hawa jamaa wanamatatizo sana hawajielewi kabisa
Yaan watu waend kuwaon wasanii waki perform nyimbo za kumsifia Jpm! Tumienbakili bas ! Yan mi niwe CDM kindakindaki, eti nikamuone zuchu anaimba akismsifia jpm! .Msitake kuforce kuwa jpm hapendwi!..
 
Sister unauliza swali wakt jibu unalo? Hakuna sehem mwamba ameenda peke yake kwenye kampeni bila utitiri wa wasanii
Nani sister wewe? Unakisia jinsia et! Angalia hiyo video kwanza ndo ujue kwamba watu wanafuata wasanii au lah!
 
Milori na Mi fuso itakuwa na kazi kweli kweli ya kusombelea watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…