Isayalussy11
JF-Expert Member
- Mar 8, 2019
- 695
- 1,058
Walishapangwa mapema hao na waliletwa kwa mabasi na maloriHapa ni njiani simiyu , tuambie kulikuwa na wasanii hapo? Mbona mnaweweseka sana nyie chadomo! View attachment 1574976
Hivi una akili kweli ? yaan watu wasombwe na malori kwenda kumsikiliza jpm njiani!. Kwanza kama mtu hamkubali Jpm ataendaje hapo kumsikiliza?Walishapangwa mapema hao na waliletwa kwa mabasi na malori
Motivations, akili itapatikana 28 pale JPM atakapopata 01%Hivi una akili kweli ? yaan watu wasombwe na malori kwenda kumsikiliza jpm njiani!. Kwanza kama mtu hamkubali Jpm ataendaje hapo kumsikiliza?
Nijibu maswali ninayo kuuliza ?Motivations, akili itapatikana 28 pale JPM atakapopata 01%
Huwa mna tabia za kuedit picha..nani asiyejua?Hapa ni njiani simiyu , tuambie kulikuwa na wasanii hapo? Mbona mnaweweseka sana nyie chadomo! View attachment 1574976
Hivi kati ta chadomo na CCM kina nani wana edit picha ?? Au hujui kuwa mikutano yote ya CCM huwa Live?Huwa mna tabia za kuedit picha..nani asiyejua?
Nimeshakujibu kulingana na kiwango chako cha akili. Hebu chunguza hiyo sentensi yako vizuri, kumbe wewe ni hamnazo.Nijibu maswali ninayo kuuliza ?
Jiandae kuwa upinzani baada ya okt. 28Umeelewa swali nililo uliza? au unadandia tu hoja !! watu wataendaje kumsikiliza Jpm njiani kama hawamkubali?
Huna hoja!Nimeshakujibu kulingana na kiwango chako cha akili. Hebu chunguza hiyo sentensi yako vizuri, kumbe wewe ni hamnazo.
Jiandae kuwa upinzani baada ya okt. 28
Vyama vya upinzani ikiwemo CCM, vyalia na...
Pole naona huelewi uliyemuuliza swali, ila hii ni kawaida kwa wana CCMUnaulizwa swali ! Unajibu et jiandae kuwa mpinzani so what? Yaani kwa akili hizi , ndo mnataka mpewe nchi!!
Sasa kama mtu ana pesa za kuwasafirisha wapiga kura wake ulitakaje?? Ninyi hamna pesa msijilinganishe na Ccm !.Hivi mtu atakubalije kupakiwa na gari aende akamsikilize mgombea?? ..Abood Jana Hapa Morogoro Alitoa Bus Zake Nyingi
Kubeba Wananchi Kuwapeleka Anakozindua Campaign Zake. Halafu Wananchi Wanasema Mikutano Ya Upinzani Wanakwenda Wenyewe Kupata Madini
Unaendelea kuonesha upuuzi wako! Kama huna la kujibu kaa kimya.Pole naona huelewi uliyemuuliza swali, ila hii ni kawaida kwa wana CCM