Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Hapa ni njiani simiyu , tuambie kulikuwa na wasanii hapo? Mbona mnaweweseka sana nyie chadomo!
IMG_20200919_160853_915.jpg
 
hao wezi wa kura hiyo mbinu ya kusomba watu wanaitumia kuonesha dunia kuwa wanajaza watu na kwamba wanapendwa sana ili siku ya kuiba kura waibe kirahisi na kutumia picha za mikutano kama ushahidi.
 
Abood Jana Hapa Morogoro Alitoa Bus Zake Nyingi
Kubeba Wananchi Kuwapeleka Anakozindua Campaign Zake. Halafu Wananchi Wanasema Mikutano Ya Upinzani Wanakwenda Wenyewe Kupata Madini
 
Abood Jana Hapa Morogoro Alitoa Bus Zake Nyingi
Kubeba Wananchi Kuwapeleka Anakozindua Campaign Zake. Halafu Wananchi Wanasema Mikutano Ya Upinzani Wanakwenda Wenyewe Kupata Madini
Sasa kama mtu ana pesa za kuwasafirisha wapiga kura wake ulitakaje?? Ninyi hamna pesa msijilinganishe na Ccm !.Hivi mtu atakubalije kupakiwa na gari aende akamsikilize mgombea?? ..
 
WhatsApp Image 2020-09-20 at 11.04.44 AM.jpeg

Mgombea Urais wa JMT, Dkt. John Magufuli yupo Tabora leo Septemba 20, 2020.

Updates zote zitawekwa hapa:
Ameshafika Tabora na Kwasasa anazungumza na Wananchi wa Kaliua

WhatsApp Image 2020-09-20 at 4.12.09 PM.jpeg
WhatsApp Image 2020-09-20 at 4.12.05 PM (1).jpeg
WhatsApp Image 2020-09-20 at 4.12.05 PM.jpeg
WhatsApp Image 2020-09-20 at 4.12.04 PM.jpeg
WhatsApp Image 2020-09-20 at 4.11.40 PM.jpeg
 
Mleta Kachanganyikiwa Uvinza Ipo Mkoa Wa Kigoma
Mengine Ya Campaign Tunayasikia Tu Tunajua Ni Kuondoa Kitu Juani
 
Back
Top Bottom