Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

JPM AKIWA KWENYE IKUNGI SINGIDA

•Tunataka Watoto wetu wasome bure na ndiyo maana siku zote nimekuwa nikisema zaeni•

•Hakuna kuzaa kwa mpango, matiti ya kunyonyesha Watoto tunayo, na maziwa tunayo, na Wanaume wapo,Wakinamama wapo na Shule wanasoma bure, Serikali ipo•
 
Safi sana

Wanashambulia kama nyuki. Well organised kwa kweli
 
Kwahiyo mabaunsa na mgampo ndo wanaopiga kampeni? Angalia msafara tu wa CCM kama utaona gari hata moja la Serikali. CCM kinatumia rasilimali zake, nyinyi za kwenu zinaishia kwenye matumbo ya wachache.
 
Yeye kwake anafikiria Watu wanafikiria na kufurahia ngono!
 
Mfanyakazi wa serikali, kuipigia CCM Kura ya ndiyo Ni sawa na kuchukua kamba nyumbani kwako na kuelekea porini ukajinyonge ili ufe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…