Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

JPM AKIWA KWENYE IKUNGI SINGIDA

•Tunataka Watoto wetu wasome bure na ndiyo maana siku zote nimekuwa nikisema zaeni•

•Hakuna kuzaa kwa mpango, matiti ya kunyonyesha Watoto tunayo, na maziwa tunayo, na Wanaume wapo,Wakinamama wapo na Shule wanasoma bure, Serikali ipo•
FB_IMG_15989568071780013.jpg
 
Safi sana

Wanashambulia kama nyuki. Well organised kwa kweli
 
Kila mtu ana staili yake ya kupiga campein.
CCM wanatumia rasilimaliza Dola.
Upinzani unatoa fedha mifukoni mwao.
Huwezi linganisha kamwe.
CCm wanapiga campeni kama erikali wakiandamana na Protokali ya Polisi ,usalam wa taifa na jeshi la ulinzi.
Upinzania wanategemea mabaunsa, hawana hata mgambo, na pia figisu za Mapolisi zikiwa zina wasubiri njiani.
Kwahiyo mabaunsa na mgampo ndo wanaopiga kampeni? Angalia msafara tu wa CCM kama utaona gari hata moja la Serikali. CCM kinatumia rasilimali zake, nyinyi za kwenu zinaishia kwenye matumbo ya wachache.
 
Yeye kwake anafikiria Watu wanafikiria na kufurahia ngono!
 
Mfanyakazi wa serikali, kuipigia CCM Kura ya ndiyo Ni sawa na kuchukua kamba nyumbani kwako na kuelekea porini ukajinyonge ili ufe.
 
Back
Top Bottom