Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Duh an ccm ni sikio LA kufa
Hakika maneno ya bwege yataishi....
Ccm ni kama patasi haifanyi kazi hadi ipigwe sana...ova
 
Watu wamegraduate wamekaa bila ajira mda mrefu leo ndo mtoe elimu ya kujiajiri ?hizi akili za wapi ?

Wote tukiwa babantilie na mama ntilie nani tutamwuzia msosi
 
Watanzania wote wenye mapenzi mema na nchi yetu, tutaishi na kuyasimulia Matendo makubwa ya awamu ya tano. Kama ni kufa, jiongeze tu kamanda, maana Magufuli ni Tano tena.
Mmh! Acha kujipa moyo, mgombea wenu anaumwa msongo wa .mawazo. Jana amefokea kila mtu pale Dodoma, kaonesha dalili ya kupaniki.
 
Hiyo elimu ya ujasiliamali ndio mitaji?

Waambieni elimu tunayo tayari mitaji ndio hatuna

Na wakitaka kujua kujiajiri ni ngumu wawaulize waliokatwa na wajumbe maisha wanavyoyaona huku
 
Mzee wa visasi
 

**** kufa akishinda ? mtakufa kweli sababu amekwisha shinda.
 
Mimi nitampigia kura sababu napenda maendeleo.

JPM 2020-2025
CCM USHINDI NI JADI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…