Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

LISSU UKIENDA KWENYE HIYO TUME UWE MAKINI MNO MNO NA SUALA LA USALAMA WAKO. BARABARANI NDIO MZIDISHE UMAKINI, WAKATI WA KWENDA NA KURUDI. YULE MTU WA CAMERA ASISAHAULIKE.
 
Asante kwa kujiunga na timu ya Uhuru, Haki na Maendeleo
Uhuru ulishaletwa na TANU kwa Tanganyika na ASP kule Zanzibar ni uhuru gani unazungumzia?

Shule ulienda kusomea ujinga?

JPM 2020-2025
CCM USHINDI NI JADI
 
Uhuru ulishaletwa na TANU kwa Tanganyika na ASP kule Zanzibar ni uhuru gani unazungumzia?

Shule ulienda kusomea ujinga?

JPM 2020-2025
CCM USHINDI NI JADI
Unajiabisha mkuu. Afrika Kusini ilipata Uhuru mwaka 1910. 1912 ANC ikaanzishwa ili kudai Uhuru tena. Jisomee mkuu, usidhani kuandika andika humu ndiyo kuelimika.
 
LISSU UKIENDA KWENYE HIYO TUME UWE MAKINI MNO MNO NA SUALA LA USALAMA WAKO. BARABARANI NDIO MZIDISHE UMAKINI, WAKATI WA KWENDA NA KURUDI. YULE MTU WA CAMERA ASISAHAULIKE.
Akajibu ukiukaji wa taratibu mambo ya Camera na usalama barabarani ambao ni jukumu la traffic unahusikaje hapa?

Kama ameisigina ilani yake anaanza kuleta fitina ndio ataheshimu sheria huyu? HAPANA.

JPM 2020- 2025

CCM USHINDI NI JADI
 
Mmh! Acha kujipa moyo, mgombea wenu anaumwa msongo wa .mawazo. Jana amefokea kila mtu pale Dodoma, kaonesha dalili ya kupaniki.
"Kama watoto.wangu wangekuwa washamaliza chuo, Wallahi ningwachia ajira yake" Alini text mheshimiwa mmoja baada ya kutoka kwenye kikao pale DOM jana!
 
Unajiabisha mkuu. Afrika Kusini ilipata Uhuru mwaka 1910. 1912 ANC ikaanzishwa ili kudai Uhuru tena. Jisomee mkuu, usidhani kuandika andika humu ndiyo kuelimika.
Scenario zipo tofauti hapa hatuna minority rule na pia hatuna Boers acha kupotosha una uhuru wa kuropoka utakavyo na kuishi utakavyo.

Acheni porojo Magufuli anatosha.

JPM 2020-2025
CCM USHINDI NI JADI
 
Tena ataanza na Kanda ya ziwa wamemuaibisha Sana lazima abomoe nyumba zao this time. Nusuru pekee ni kumkataa nchi nzima.
Huko ndio CCM itapatia ushindi tena mkubwa.

JPM 2020-2025
CCM USHINDI NI JADI
 
Scenario zipo tofauti hapa hatuna minority rule na pia hatuna Boers acha kupotosha una uhuru wa kuropoka utakavyo na kuishi utakavyo.

Acheni porojo Magufuli anatosha.

JPM 2020-2025
CCM USHINDI NI JADI
Watu wanatekwa
Watu wanapigwa risasi
Watu wanabomolewa nyumba zao
Wafanyabiashara wanaporwa fedha zao

Minority ni hao (CCM) boers wapo kasoro rangi tu.
 
Kimara kabomoa mita 120 kila upande wa barabara panapojengwa apafiki mita 70 Sasa hizi 50 kwann aliwabomolea sababu kuwakomoa. Wafanyakazi wameteswa 5 yrs kisa walimpigia kura Lowasa, Sasa wwe mtza unaeye jaza mikutano ya upinzani utakuwa na Hali gani upone visasi. Amehaidi atawashughulikia wasipomchagulia awatakao kwenye kampeni tu kahaidi hivi vipi akirudi si atabomoa kijiji kizima.
Iokoe tanzania kwa kutoichagua ccm na mgombea wake. Ukirudia Tena kosa mmekwishaa.
 
Hatuna muda wa kutafuta watu wajinga, hapa ni kazini tu.
 
Watu wanatekwa
Watu wanapigwa risasi
Watu wanabomolewa nyumba zao
Wafanyabiashara wanaporwa fedha zao

Minority ni hao (CCM) boers wapo kasoro rangi tu.
Unazungumzia mambo yanayoendelea nchi gani labda sielewi Mkuu?

Wametekwa wapi na wakina nani?

Nani kapigwa risasi na kapigwa na nani?

Mfanyabiashara yupi kaporwa fedha zake?

Mbona mnalialia Mkuu, tulieni dawa iingie.

JPM 2020- 2025
CCM USHINDI NI JADI
 
Huko ndio CCM itapatia ushindi tena mkubwa.

JPM 2020-2025
CCM USHINDI NI JADI
,Kanda ya ziwa maeneo gani?

Huko Bukoba Magu kazomewa.

Huko Mara ndiyo mpk familia ya muasisi wa taifa wamemkaribisha Lisu kupata malazi na chakula.

Huko Geita ndiko watu elfu 10 wakalala nje ya hotel kumlinda Lisu.

Mwanza ndiyo hiyo watu wanamshangilia Lisu mpk wanapata wazimu.

Sasa Kanda ya ziwa ipi?
 
Back
Top Bottom