mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Miaka yote ccm huwa wanawaona watz wajinga , tena wajinga wa kutupwa, labda wewe ulikuwa hujagundua tu.Kweli Polepole na Bashiru ndiyo mwisho wenu wa kufikiria umeishia hapo. Yani karne hii ya technologia na utandawazi na mwenyekiti wenu mkamshauri ivyo na bila kusita akakubali...
Umewaza vema....nchi ikiwa na idadi kubwa ya watu ni power kwa serikali kisiasa na kiuchumi maana itaongeza wapiga kura na walipa kodi...ingawa kwa mtu mmoja mmoja ni taabu tupu....Jiwe is on long plan for whose sake? Only God knows.Anataka tuongeze wapiga kura wa CCM.
Maneno haya yangesemwa na mwengine angeambiwa katukana. Yajayo yanafurahisha.wakinamama zaeni hakuna haja ya kupanga uzazi, matiti ya kunyonyesha mnayo, wanaume wa kuwapeni mimba wapo.
mungu gani?HATA MUNGU ALIWEKA UZAZI WA MPANGO.
HUWEZI KUZAA WATOTO WENGI KULIKO UWEZO WAKO WA KUWATUNZA
HADI SASA UKUAJI WETU WA UCHUMI HAUENDANI NA KASI YA UKUAJI WA UCHUMI
Ningekuwa mpumbavu iwapo ningekuwa mwanaccm.Alafu porini unakuta miti yote imekatwa! MPUMBAVU wewe!
Hupenda kuzuia maendeleo kwenye majimbo ya wapinzani mpaka siku akipita anaitisha mkutano anaomba wananchi waulize maswali baada ya maswali humdhalilisha mbunge wa upinzani na kisha kutoa Amri maendeleo yafanyike haraka na ndipo wananchi huona kuwa bila yeye mbunge angefeli kuleta maendeleo ni mbinu zake za kujionyesha kuwa bila yeye hakuna maendeleo popote Nchini...huu ndio mtizamo ambao Magufuli ameujenga kwa muda mrefu, na amekuwa akipita kila mahali kusisitiza hilo.
..kwamba eneo husika kupata maendeleo raisi/magufuli ndiye muamuzi. Na asipojisikia, au asipokuwa na mahusiano mazuri na mbunge wa eneo hilo, basi hakuna maendeleo.
..kama anakusanya kodi kila mahali ktk nchi hii, basi miradi ya maendeleo igawanywe kulingana na mahitaji, na siyo raisi anajisikia vipi, au mbunge ana mahusiano gani na watawala.
Nakubaliana na wewe bila chengaMagufuli anaamini fedha zote za serikali ni mali yake na ana uwezo wa kuzitumia bila kupitia bungeni, ndiyo sababu amekuwa akichota fedha hazina na kuzitumia bila idhini ya Bunge. Full kuvunja sheria!
Alipaswa kuwa Nyampara wa barabara na madaraja,basi!Huyu hakustahili kuwa Rais wa nchi
Akitoka madarakani kama tunavyotarajia atatakiwa kujibu mambo haya , hakutakuwa na mswalie mtumeMagufuli anaamini fedha zote za serikali ni mali yake na ana uwezo wa kuzitumia bila kupitia bungeni, ndiyo sababu amekuwa akichota fedha hazina na kuzitumia bila idhini ya Bunge. Full kuvunja sheria!
La Wakandarasi.Kwani CCM kundi gani wamelipa kipaumbele sasa hivi ?
Eti aombwe maendeleo utazani bila yeye hawapaswi kupata maendeleo wakati wanalipa kodi za maendeleoUlimbukeni wa ajabu, uzuri Watanzania wajinga wanapungua.
Leo Ikungi kasema ... Mtaturu miezi michache kaniomba maji..... wengine walikuwa hawaombi..( Lissu) ..
Aibu na fedheha kwa wananchi toka kwa mtawala.
Waziri Mkuu alikataza matumizi ya viroba ila wanaccm wenzake wanaendelea kuvitumia.Taifa la pombe, music, pool table na kubet.
Hayo ya kawaida