Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu


Wazungu Hawa au wazungu gani

 
Kwa nini udanganywe? Nenda google utapata jibu Tanzania ina madini kiasi gani. Au je nchi zipi duniani zenye madini? Itakujibu. tanzania terms of trade negligible
 
Kawaulize wale walioandika kwenye ilani yao kuwa rasilimali za madini zitawekwa rehani!!!!
Queen Esther
 
Huyo unaedai anatetea rasilimali zetu alishwahi kukuonyesha mkataba hata mmoja tuu alowahi kuingia na hao wazungu? Hivi rasilimali zetu za madini ni nani anazichimba eti? Na nani mfaidika mkubwa? Acha kushikiwa akili wewe.
 
Huyo unaedai anatetea rasilimali zetu alishwahi kukuonyesha mkataba hata mmoja tuu alowahi kuingia na hao wazungu? Hivi rasilimali zetu za madini ni nani anazichimba eti? Na nani mfaidika mkubwa? Acha kushikiwa akili wewe.
Unafikiri utaletewa mikataba hapa JF?
 

Unaweza kuwa unaongea vitu kwa ushabiki bila kujua

Yan wazungu wachangie bajet yako

Wakupe madawa ili ww na familia yako mpone

Wanafundisha askari wako

Then unapiga kelele unaibiwa basi ww utakuwa ni mtu wa ajabu sana
 
Habarini za Leo Wadau !!

Kwanza niombe *Jazba ziwekwe pembeni , Akili zifanye Kazi na Tushindane kwa Hoja siyo Vioja !!!!*

Binafsi niwakumbushe Wapenda SIASA Kuwa SIASA ni *Hesabu* !!! Kama Haujuwi Hesabu huu mchezo utakuua na Pressure.

Kwenye Kila Uchaguzi Kuna Wapiga Kura wa aina 3.

*1. WAPIGA KURA wa Chama Chako* ( Hawa kwa lugha nyepesi tunawaita wafia Chama ) Hawa huwa wanapiga Kura kwa kuangalia Ubora wa mgombea wao, Mvuto wake, imani yao kwake na mwisho ni MAPENZI yao ya dhati kwa chama Chao. Mara nyingi inyeshe mvua liwake jua hawa huwezi kuwapindua utachoka wewe tu !!

*2. WAPIGA Kura wa Chama PINZANI.* Hawa ni wafia Chama wa Itikadi yao. Wengi ni wapinzani wakutoka TUMBONI mwa mama zao au walikuwa wanufaika wa mfumo flani kwa hiyo huongezeka kulingana na namna Maslahi yao yalivyokwama. Hawa hata uwaletee *PEPO MAJUMBANI* kwao hawawezi kukukubali.

*3. WAPIGA Kura wasiyo na Vyama ( Un decided Voters )*

Hawa hawana Vyama, hawa ni Bendera fuata upepo na ndiyo Kundi linalochanganya saana. Kwa Kuwa kila Mkutano wa Mgombea wao huudhuria kwa Raha zao. Na ni kundi Muhimu sana linalofanya maamuzi kulingana na kushawishika na Sera, kuvutiwa na mgombea na mabadiliko ya dhati waliyoyashuhudia.

*TAKWIMU ZINASEMAJE SASA !!!!!*

Wapiga KURA wa Uchaguzi wa Mwaka huu 2020 inakadiriwa Kuwa wapo *Milioni 29.*

Hilo ndiyo *Kombe lenyewe la kugombaniwa ( Wapiga KURA )*

Kati yao *CCM pekee ina wanachama Hai MILIONI 17* achana na Wakereketwa na *WAFURUKUTWA* ambao idadi yao inaongezeka kila Siku.

Sasa hili ni Kundi la Kwanza Tu !!! Hawa Ni wafia CHAMA. watukane utakavyo watakufa na Chama chao.

Wanachama hawa wa CCM MWAKA HUU wakikipigia KURA pekee Chama chao bila ongezeka la KURA moja ya Upinzani *CCM na Magufuli watakuwa wameshinda kwa 58.62%*

Kwa hiyo *MAGUFULI , CCM* na *mtandao* wake mkubwa ambao upo kila Kitongoji na KIJIJI wanapambana Kuongeza Kura tu kutoka KUNDI la Watu wasiyo na VYAMA *( Undecided Voters)* ili kutunisha MFUKO wao wa USHINDI kupandisha asilimia (%) Tu !!!

Jambo ambalo linaendelea kuipa NAFASI KUBWA CCM Kushinda kwa KISHINDO. Hayo magoti ya *UNYENYEKEVU yanayopigwa na Mgombea wa CCM na Wagombea wengine wa CCM wa Ngazi mbalimbali Nchi nzima matokeo yake yataonekana kwenye SANDUKU la KURA muda mchache Ujao TAREHE 28/10/2020.*

Wapiga KURA wanahitaji *Maendeleo, Heshima, Kuthaminiwa , AMANI na Utulivu.*

Hayo yote CCM ndani ya Miaka 5 imeyafanya kwa Kiwango KIKUBWA ZAIDI !!!!

Narudia tena kusema, SIASA ya MAENDELEO *( Political Development)* na Siasa ya HARAKATI *(Political Movement)* kwenye SANDUKU la KURA, SIASA ya Maendeleo ndiyo inalipa zaidi.

" NALITAKIA TAIFA UCHAGUZI MWEMA "
 
CCM HAIWEZI KUSHINDA
 
Bado ni hypothesis , ungeweka na proven evidence/reference from reliable sources.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…