Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,409
- 13,262
Naomba kufahamidshwa mabeberu ni watu wa aina gani?Kamwe hatutaiweka nchi yetu mikononi mwa mawakala wa mabeberu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba kufahamidshwa mabeberu ni watu wa aina gani?Kamwe hatutaiweka nchi yetu mikononi mwa mawakala wa mabeberu!
Napata mtori bwashee...... Tukijiandaa kwenda kwa Pompeo!
Nadhani sasa ameeleweka kuwa mtu asiye mkweli na hafai kabisa kuwa rais wetu.naona mh akitoa kauli za kibabe eti lazima mchague huyo ooooh
hamtapata majiii ooooh mikwara kibao
then kesho unasikia maendeleo hayana chama
Huyu mkatili na muuaji lazima tumstaafishe mwaka huu na kumrudisha chatoamekiri wazi kwa makusudi kabisa hakupeleka maendeleo kwenye majimbo zaidi ya 50 , ametesa mamilioni ya Watanzania, hafai kuongezewa hata dakika.
Kumbuka anayepiga mabomu na aliyetoa amri wote wategemee kuwajibishwa na MarekaniKitu pekee kinachoogopwa sio ushindi..Ushindi tunao tena wa kishindo.
Ila baada ya ushindi hii kusema mnaingia barabarani hatupendi kusikia mabomu sie.
Ingawa mkiingia mtapigwa tu.
Marekani ni nani haswa katika nchi yetu.Kumbuka anayepiga mabomu na aliyetoa amri wote wategemee kuwajibishwa na Marekani
Subiri tu utamjua ni naniMarekani ni nani haswa katika nchi yetu.
Mpuuzi mmoja weTrump na JPM Kuna vitu wanafanana Sana:
1. Make America great again, make Tanzania Donner country.
2. Sheria mpya nyingi America na sheria mpya nyingi Tanzania
3. Wasiwasi ya kuibwa kura America na wasiwasi ya kuibwa kura Tanzania.
Safari hii Ni toa boriti kwenye jicho lako kabla ya kutoa kibanzi kwenye jicho langu.
Na hapo ndipo ujinga unapotofautiana. Marekani hawana kitu Cha bure kwa watu wao wenyewe sembuse kwa watanzania.Mpuuzi mmoja we
Hata hizo ARV unazomeza unapewa na Us
Nyie hata msaada wa kutoa kondom hamna
Basi Kama ni kuuza nchi ccm imeuza kitambo kwa kuendelea kupokea misaada yaoNa hapo ndipo ujinga unapotofautiana. Marekani hawana kitu Cha bure kwa watu wao wenyewe sembuse kwa watanzania.
Ukiwa kiongozi kwa mtazamo Kama huo Ni rahisi sana kuiuza Tanzania kwa Bei ya jumla. Nilishaenda maeneo ya vijijini kule kwao nikakuta shule ya umma wanafunzi hawana madawati na paa la shule limeezuliwa na upepo wanafunzi wanasoma hivyohivyo, moja ya sababu iliyomfanya Obama akaanzisha Obama care na kupunguza Vita ili aangalie wamerekani walalahoi.
Usioijua Marekani Hadi vijijini mnadhani kila kitu Ni shwari kule
Labda approach yake tu na waliomzunguunga, lakini anachokifanya Magufuli ndicho hichohicho walichokifanya na wanachokifanya Marekani, Ulaya, Urusi, China, Uarabuni, Rwanda na kwingineko kwenye maendeleo. Hakuna msaada utakaokuletea maendeleo ya viwanda, kilimo na uchukuzi. Sera za wazungu Ni kupata malighafi, masoko na nguvukazi.Basi Kama ni kuuza nchi ccm imeuza kitambo kwa kuendelea kupokea misaada yao