Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

naona mh akitoa kauli za kibabe eti lazima mchague huyo ooooh
hamtapata majiii ooooh mikwara kibao

then kesho unasikia maendeleo hayana chama
 
naona mh akitoa kauli za kibabe eti lazima mchague huyo ooooh
hamtapata majiii ooooh mikwara kibao

then kesho unasikia maendeleo hayana chama
Nadhani sasa ameeleweka kuwa mtu asiye mkweli na hafai kabisa kuwa rais wetu.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
amekiri wazi kwa makusudi kabisa hakupeleka maendeleo kwenye majimbo zaidi ya 50 , ametesa mamilioni ya Watanzania, hafai kuongezewa hata dakika.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Kitu pekee kinachoogopwa sio ushindi..Ushindi tunao tena wa kishindo.

Ila baada ya ushindi hii kusema mnaingia barabarani hatupendi kusikia mabomu sie.

Ingawa mkiingia mtapigwa tu.
 
Kitu pekee kinachoogopwa sio ushindi..Ushindi tunao tena wa kishindo.

Ila baada ya ushindi hii kusema mnaingia barabarani hatupendi kusikia mabomu sie.

Ingawa mkiingia mtapigwa tu.
Kumbuka anayepiga mabomu na aliyetoa amri wote wategemee kuwajibishwa na Marekani
 
hi tabia ya kuiba uzi wa mtuu unaweka kwako imeanza lini kama uzi wako hauna maana si utulie@re
 
Trump na JPM Kuna vitu wanafanana Sana:
1. Make America great again, make Tanzania Donner country.

2. Sheria mpya nyingi America na sheria mpya nyingi Tanzania

3. Wasiwasi ya kuibwa kura America na wasiwasi ya kuibwa kura Tanzania.

Safari hii Ni toa boriti kwenye jicho lako kabla ya kutoa kibanzi kwenye jicho langu.
 
Mpuuzi mmoja we
Hata hizo ARV unazomeza unapewa na Us
Nyie hata msaada wa kutoa kondom hamna
 
Mpuuzi mmoja we
Hata hizo ARV unazomeza unapewa na Us
Nyie hata msaada wa kutoa kondom hamna
Na hapo ndipo ujinga unapotofautiana. Marekani hawana kitu Cha bure kwa watu wao wenyewe sembuse kwa watanzania.

Ukiwa kiongozi kwa mtazamo Kama huo Ni rahisi sana kuiuza Tanzania kwa Bei ya jumla. Nilishaenda maeneo ya vijijini kule kwao nikakuta shule ya umma wanafunzi hawana madawati na paa la shule limeezuliwa na upepo wanafunzi wanasoma hivyohivyo, moja ya sababu iliyomfanya Obama akaanzisha Obama care na kupunguza Vita ili aangalie wamerekani walalahoi.

Usioijua Marekani Hadi vijijini mnadhani kila kitu Ni shwari kule
 
Basi Kama ni kuuza nchi ccm imeuza kitambo kwa kuendelea kupokea misaada yao
 
Basi Kama ni kuuza nchi ccm imeuza kitambo kwa kuendelea kupokea misaada yao
Labda approach yake tu na waliomzunguunga, lakini anachokifanya Magufuli ndicho hichohicho walichokifanya na wanachokifanya Marekani, Ulaya, Urusi, China, Uarabuni, Rwanda na kwingineko kwenye maendeleo. Hakuna msaada utakaokuletea maendeleo ya viwanda, kilimo na uchukuzi. Sera za wazungu Ni kupata malighafi, masoko na nguvukazi.

Mimi Nina shida na CCM lakini sio Magufuli kwenye mambo yake mengi. Unajua huwezi ku concentrate kuijenga nchi huku unasikiliza sauti za huyoo huyooo huyoo huyooo mchinje mchinjee kutoka ndani na nje ya nchi.

Hata Lissu sintamuelewa Kama atasema kuwa ataachana kabisa na ujenzi wa bwawa, reli ya kisasa, ndege na viwanda Kama ataingia ikulu. Lazima awahakikishie watanzania kuwa hela zao ambazo zimeshatumika kujenga hii miradi mikubwa hazitapotea bure, ataendelea na ukamilishaji wa miradi hiyo hadi ifike mwisho. Lakini hata yeye akiingia ikulu hataweza kuvumilia kuona CCM inafanya maandamano ya kidemokrasia kila siku mitaani na barabarani kwa miaka 5 yote.

Ni kweli kuwa Tume haiko Ina shida lakini wagombea nao wanazo shida zao.
 
Uongo dhambi jana nimetoka zangu kijijini kuja kushangaa hii interchange ya ubungo shahidi yangu Pascal Mayala.

Yaani kuna raha ya kipekee kushuhudia maendeleo ya miundombinu hasa hii ya usafirishaji ambayo ndio kichocheo kikubwa cha maendeleo ya kiuchumi.

Hapa bado ma-airport makubwa mikoani na madege yetu wenyewe, bado matren ya mwendokasi, bado mastend makubwamakubwa ya mabasi ya mikoani yaani kila kitu nitaenda kushangaa maajabu yaliyoletwa na kutekelezwa na serikali ya Rais Dkt. Magufuli hakuna namna.

Dkt. Magufuli popote ulipo Mungu akubariki sana mzee wetu. Hakuna wa kukuweza mbeba maono yenye maana kwa maendeleo ya uchumi.

Haya mambo ni mapya kwangu 😁😅 kabisa kuyaona hapa Tanzania. Kwa mara ya kwanza niliyaonaga Dubai.

Tanzania siku hizi ni raha tupu mlioko abroad mfanye mrudi mkuje mjionee Tanzania ya Magufuli. Tanzania kumenoga. Tanzania ya sasa ni 🔥.

  • Nzuri
Reactions: UCD
Nimekuwa nikifuatilia siasa za uchaguzi wa mwaka huu ninaona kuna harufu ya nchi za magharibi kupigania kuendelea kuvuna raslimali za nchi kwa kutumia uongozi mpya wanaoutaka kuuweka kwa kisingizio cha demokrasia.

Hivyo tofauti na chaguzi zilizopita uchaguzi huu nchi za magharibi zimeweka macho yote kwenye uchaguzi huu na kutoa matamko mbalimbali ya kidiplomasia ya vitisho.

Kimsingi hatua zilizochukuliwa na Dk Magufuli kulinda raslimali zetu imezalisha vita kubwa ya kiuchumi ambayo inajiakisi kwenye ukinzani wa siasa za uchaguzi. Watanzania kuweni macho sana vinginevyo tukicheka na nyani tutavuna mabua.

Kelele za wapinzani wanatumika tu kama kundi lililokata tamaa na ambalo liko tayari kuiweka nchi kwenye umwagaji damu.Tufanye maamuzi sahihi tarehe 28.10.2020 tusifanye majaribio. KUNA AJENDA YA SIRI KUPENYEZWA KIPINDI HIKI.
 
Back
Top Bottom