Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Rabish!
 
NEC ikishamtangaza Mshindi wa uraisi, hakuna mahakama yoyote duniani inayoweza kupokea na kusikiliza malalamiko yoyote kutoka kwa mtu yeyote. Hapa ndipo shida ilipo. How is this possible?? Lissu and co wanalijua hili.

NEC na CCM yao hawatokaa kamwe wampe Nchi mpinzani yoyote as long as declaration ya NEC ni final. Upinzani lazima ufight kubadilisha kwanza hii kitu
 
CCM inayoogopa mpaka uchaguzi wa serekali za mitaa haina ubavu wa kushinda uchaguzi mkuu,watakaoshinda uchaguzi mkuu ni nec na vyombo vya dola.

CCM ushindi wake uko kwenye kubaka haki ya wapiga kura kwa kupora form za wapinzani na kupora masanduku ya kura.
 
Mshua anakwama sana hajui kuongea huyo angebakigi tuu kuwa waziri maana hana busara kabisa na hana break na maneno yake mara maendeleo hayana chama, sisi wote ni watanzania mara ukichagua upinzani mtajuta sasa. Tumuelewe vp, mbona anafeli sana
 
Hata kifo cha Hitler kilikuwa ajabu la dunia ila alikufa kweli!!
 
Bagbo wa Ivory Coast naye alitangazwa na NEC na CCM ya Ivory Coast, sasa ananyea debe
 

Sema haya ni matamanio yako na sio uchambuzi. Ccm kama ina wanachama wa kweli basi hawazidi milioni tatu nchi hii. Nchi hii ina wananchi 59m+, hakuna uwezekano nusu yake yaani 29m+ wawe wamejiandikisha kupiga kura. Idadi hii ya wapiga kura ni ya kupika, kama tume imeweza kupika idadi ya wapiga kura, basi hata matokeo yake yatakuwa ya kupika, machafuko peke yake ndio yatarejesha box la kura kuheshimiwa nchi hii fullstop.
 
Hapo aliposema takwimu nikawa nasubiri kumbe ni one sided takwimu... nilidhani hiyo mil 12 ingeoneshwa mgawanyo wake
 

Machafuko pekee ndio njia iliyobaki hilo kurekebishwa. Ni nadra watawala wa Afrika kukubali mabadiliko ya haki bila machafuko.
 
Kwa mfano mimi sio CCM ila kwa kazi za Magufuli nitampa kura yangu.
watu kama mimi tupo wengi sana.
 
Mimi ninakadi ya ccm hapa Niko Bukoba mjini ila kura yangu nampa lisu na karumuna .

Mleta mada nizero brain analyzer
 
Mimi ninakadi ya ccm hapa Niko Bukoba mjini ila kura yangu nampa lisu na karumuna .

Mleta mada nizero brain analyzer
Wametumwa humu kujaza upupu wao. Wako wengi sana hawa nzi wa kujani!!!

Mie mwenyewe nilikuwa CCM na Nina kazi ya CCM ila sasa Niko na Lissu na Chadema. Na Tupo wengi sana karibu 70 ninaowajua tulio na msimamo huu

Hatuwezi kuchagua muuaji na mbaguzi Jiwe. Never
 

Unasemaaaaaa???????? wanachama 17m????? unatania au ndo ushakua siriasi kiivo?

2015 walipigiwa kura na raia 8m(hapo ni plus everything adi kuongeza (%))

kwa iyo mwaka huu wamependwa na raia karibia 10m........ noooooooooooooooo waaaaaaaaaaaaaaaaay....

anyways, anzeni kuhalalisha mapema then mje tena hapa na msemo 'si nilisema' na unaquote visred vyako...
 
Mkuu wewe unaamini machafuko yataitoa Ccm madarakani? Mimi naamini ccm itatolewa madarakani na mataifa ya magharibi kwa mgongo wa maandamano!
 
Ccm itashinda kwenye kura Za bao la mkono ila sio kura Za mioyo ya watu. Kuna mda inabidi chama kijitafakari watu wamewachoka waliokuwa ndani na hawasemi na waliokuwa nje hawana nguvu ya kuwaondoa ila mda unavozidi kwenda kuna kundi la tatu la system hili likiwachoka ndio ccm itaondoka madarakan wazungu wanasema ‘’Time will tell’’ napita tu mungu kaumba Akili sio Elimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…