Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Moshi mnanini lakini?

Hayo mahaba muanza lini?

Kuanzia leo nachumbia Moshi. Nilizani hamjui mahaba.
 
Tuwatendee haki waliobambikwa mwaka wa nne wapo ndani ushahidi haujakamilika kumrudisha tena huyu wataozea zaidi ndani, furaha yake ni kuona familia zao zimesambaratika na kufilisika kabisa
 
Chagua Magufuli Chagua maendeleo ya Kilimanjaro na Tanzania. Watu wakilimanjaro kimaendeleo wameshaachwa mbali Sana...kisa upinzani..mpaka mkoa Kama Geita maendeleo yake yako juu Sana ukilinganisha na Kilimanjaro...watu wa Kilimanjaro wamebaki tu kusema kwenye mitandao kwamba wanamaendeleo ila ukienda kwenye ukweli..hamna kitu..Ni shida tu Kama mikoa mingine tena na kuzidi
Uzuri anapoteza muda katika Mkoa unaojielewa Kilimanjaro hawadanganyiki
 
Yuko HIMO sasa hivi hali ni mbaya kwa makamanda.

Huwajui Wachagga wewe!!! Subiri siku ya kuhesabu kura utajua ni nani ana hali mbaya kati ya Magu na Lussu.
Hivi dharau zite Magu alizo wafanyia Wachagga na manyanyaso yote ya miaka mitano bado Ccm mna mategemeo ya kura huko?? Kweli hamna aibu.
 
Na bado mashambulizi kamili ni October 28th maana kura zitakuwa nyingi kwa JPM.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Back
Top Bottom