Kamakabuzi
JF-Expert Member
- Dec 3, 2007
- 2,903
- 1,360
Kwahiyo wwache kununua ndege na kujenga barabara, ila wakununulie wewe chakula wakuletee?Zungukeni nchi nzima ila wananchi sisi hatuta wapigia kura Yani. Hatuwezi vumilia kufa njaa wakati nchi yetu ni tajiri, Kodi tunalipa, hafu mnaenda kununua ndege, kujenga barabara.
Acha ujinga mkubwa wewe. Wewe ndege utapanda ikiwa kwa siku unaingiza 2300, na hapo kodi bado ujalipa. Kuwa makini hovyo kabisa.Kwahiyo wwache kununua ndege na kujenga barabara, ila wakununulie wewe chakula wakuletee?
Sasa baba yangu ana akili za kuwaza ngono ngono kama wewe na Meko wako?Ushauri wangu kwako ni kuwa: Anza Kwanza kumtamkia hivyo baba yako mzazi aliyekuzaa. Mwambie hivi: baba wewe ni mpenda ngono...jibu utakalopata kwa baba yako mzazi uje utueleze humu jf..
Usinifokee tafadhali! Wewe kama huna chakula ni uvivu wako!Acha ujinga mkubwa wewe. Wewe ndege utapanda ikiwa kwa siku unaingiza 2300, na hapo kodi bado ujalipa. Kuwa makini hovyo kabisa.
Haya majina ya kike yanazingua. Sasa kama sisi raia hatuna uwezo wa kutumia tena kama asilimia 90 ya wa Tz hawana uwezo wa kupanda ndege nikiwa mimi miongoni mwao, ndege za Nini? Na zimfaidishe Nani. Rais wa wanyonge inabidi ufanye mambo ambayo yatawatoa watu unyongeni.Usinifokee tafadhali! Wewe kama huna chakula ni uvivu wako!
Yani unataka kwa vile hupandi ndege basi zisinunuliwe mpaka uwe na uwezo wa kupanda?
Ujinga wa wapi huu
Fungua ubongo sasa , usiwe fixed na kusifia bila kuangalia side effect za jambo . Mfano mdogo maisha bora huleta hitaji muhimu flani.Usinifokee tafadhali! Wewe kama huna chakula ni uvivu wako!
Yani unataka kwa vile hupandi ndege basi zisinunuliwe mpaka uwe na uwezo wa kupanda?
Ujinga wa wapi huu
Kamuulize Kwanza halafu uje utuambie humu jf...muulize hivi wewe baba yangu unapenda ngono?Sasa baba yangu ana akili za kuwaza ngono ngono kama wewe na Meko wako?
Mkuu, popote waendapo lkn watu wanafuatilia alipo mpeperusha bendera wa nafasi ya uraisi, na anamwaga sera zipo ili kukidhi matarajio yao ya kisekta. Waongee chochote kile lkn ni lazima wawe na majibu kuhusu matatizo ya wafanyakazi, wakulima, wafanyabiashara, wazee, ajira kwa vijana na makundi mengine ya kisekta kutokana na umuhimu wake.ni wazi ccm imejipanga vyema ktk kampeni za uchaguzi wa mwaka huu 2020 kuliko 2015.
namuona Magufuli jinsi anavyo chanja mbuga kanda ya kati kuelekea kanda ya ziwa au magharibi, anapiga mikutano isiyo pungua 10 kwa siku!
namuona Samia jinsi anavyo washa moto kanda ya morogoro nadhani mwelekeo wa pwani.....boda tu boda
namuona Majaliwa anakata mbuga kanda ya kaskazini...nadhani mwelekeo wa kanda ya nyanda za juu kusini.
kampeni ni kuwafikia wananchi walio wengi zaidi ktk maeneo yao na sio kuwakusanya ktk maeneo ya mijini.
kamuulize baba yako Tundu alitumia rasimali ganiUshajiuliza wanatumia rasilimali zipi ?!.
angalau watanzania tunakubali kuwa Magufuli kweli kaleta maendeleo ya vitu, sina uwezo sana wa kutofautisha kati ya maendeleo ya vitu na maendeleo ya watu!! lakini angalau kwa miaka yake 5 ameweza kufanya mambo ambayo hayajawahi kufanywa na utawala wowote uliopita, kwa maoni yangu hii tu inatosha kuthibitisha na kumuamini Magufuli kuwa anaweza kufanya au kuleta maendeleo ya watu na vitu au vitu na watu na zaidi ya hayoMkuu, popote waendapo lkn watu wanafuatilia alipo mpeperusha bendera wa nafasi ya uraisi, na anamwaga sera zipo ili kukidhi matarajio yao ya kisekta. Waongee chochote kile lkn ni lazima wawe na majibu kuhusu matatizo ya wafanyakazi, wakulima, wafanyabiashara, wazee, ajira kwa vijana na makundi mengine ya kisekta kutokana na umuhimu wake.
Changamoto nyingi zilizopo ktk makundi haya ya kisekta zimeanzishwa na serikali hii kwa kuendekeza maendeleo ya vitu badala ya maendeleo ya watu. Sasa kuja na sera zilezile za maendeleo ya vitu kwa miaka mingine mitano ijayo, itakuwa ni sawa na kutaka kujaribu kuwalambisha sumu ili wajue kuwa ni tamu ama chungu, wakati wao wanatambua hicho ndicho kitakuwa chanzo cha vifo vyao.
Tatizo lako ni ubongo wako unahitaji kuamshwa ili uelewe maana ya maendeleo.Zungukeni nchi nzima ila wananchi sisi hatuta wapigia kura Yani. Hatuwezi vumilia kufa njaa wakati nchi yetu ni tajiri, Kodi tunalipa, hafu mnaenda kununua ndege, kujenga barabara.
Vipi mandege na Madaraja mbona hayawabebi tena wananchi wameona ya kawaida tu kwani hata mkolonii alijengaJamuhuri imetapika kampeni ya kisayansi
View attachment 1556496View attachment 1556498View attachment 1556499View attachment 1556501
Mkoa wenye wabunge maarufu Tanzania
Hapa jamhuri kampeni zinapigwa huku watu wakila bata uwanjani
JPM hiyo ni sera au kula, tunataka kusikia sera na si vipasho vya kwenye vijora huko mitaanini mzee. Wewe unaonekana ni kiongozi dhaifu kuliko hata huyo uliyetaka kumpeleka kibra, na sasa yupo hai kabisa, Lissu alienda ulaya kupata matibabu na sio km unavyotoa sababu zako za kimbea, ingependeza tukisikia ukiomba msamaha kwa watanzania kwa kushindwa kuweka wazi mpaka sasa ni nani aliyehusika ktk tukio la kutaka kumuua Lissu, napia ulitakiwa kuomba radhi kwa kushindwa kuufanya mji wa dodoma kuwa salama kuliko mahali popote pale, maana tukio lilitokea dodoma, ambapo ni makao makuu ya nchi.