Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

WALIOPITA BILA KUPINGWA WANA NAFASI YA KUWAFANYIA KAMPENI WENZAO, Kumbe ulikuwa ni mkakati
 
Zungukeni nchi nzima ila wananchi sisi hatuta wapigia kura Yani. Hatuwezi vumilia kufa njaa wakati nchi yetu ni tajiri, Kodi tunalipa, hafu mnaenda kununua ndege, kujenga barabara.
Kwahiyo wwache kununua ndege na kujenga barabara, ila wakununulie wewe chakula wakuletee?
 
Acha ujinga mkubwa wewe. Wewe ndege utapanda ikiwa kwa siku unaingiza 2300, na hapo kodi bado ujalipa. Kuwa makini hovyo kabisa.
 
Ushauri wangu kwako ni kuwa: Anza Kwanza kumtamkia hivyo baba yako mzazi aliyekuzaa. Mwambie hivi: baba wewe ni mpenda ngono...jibu utakalopata kwa baba yako mzazi uje utueleze humu jf..
Sasa baba yangu ana akili za kuwaza ngono ngono kama wewe na Meko wako?
 
Acha ujinga mkubwa wewe. Wewe ndege utapanda ikiwa kwa siku unaingiza 2300, na hapo kodi bado ujalipa. Kuwa makini hovyo kabisa.
Usinifokee tafadhali! Wewe kama huna chakula ni uvivu wako!

Yani unataka kwa vile hupandi ndege basi zisinunuliwe mpaka uwe na uwezo wa kupanda?

Ujinga wa wapi huu
 
Haya majina ya kike yanazingua. Sasa kama sisi raia hatuna uwezo wa kutumia tena kama asilimia 90 ya wa Tz hawana uwezo wa kupanda ndege nikiwa mimi miongoni mwao, ndege za Nini? Na zimfaidishe Nani. Rais wa wanyonge inabidi ufanye mambo ambayo yatawatoa watu unyongeni.
Kwani ndege itakutoa unyongeni wewe kwa mwananchi mmojammoja.
 
Mbona Ratiba inaonyesha lissu anatambulishwa kila kanda kwanza lakini akitoka pemba kwa siku ana mikutano 4 mfano mbeya atapita majimbo 8 ndani ya siku 2. Muda huo Mwalimu atakua Kaskazini na kina Mbowe/Mnyika watakua majimbo mengine.

Ni vizuri ungesoma ratiba kabla hujaja kuongelea usiyoyajua. Hakuna sayansi hapo hta CHAUMMA na NCCR ratiba inaonyesha wagombea wenza watakua majimbo tofauti baada ya wiki ijayo.
 
Usinifokee tafadhali! Wewe kama huna chakula ni uvivu wako!

Yani unataka kwa vile hupandi ndege basi zisinunuliwe mpaka uwe na uwezo wa kupanda?

Ujinga wa wapi huu
Fungua ubongo sasa , usiwe fixed na kusifia bila kuangalia side effect za jambo . Mfano mdogo maisha bora huleta hitaji muhimu flani.
 
ni wazi ccm imejipanga vyema ktk kampeni za uchaguzi wa mwaka huu 2020 kuliko 2015.
namuona Magufuli jinsi anavyo chanja mbuga kanda ya kati kuelekea kanda ya ziwa au magharibi, anapiga mikutano isiyo pungua 10 kwa siku!

namuona Samia jinsi anavyo washa moto kanda ya morogoro nadhani mwelekeo wa pwani.....boda tu boda

namuona Majaliwa anakata mbuga kanda ya kaskazini...nadhani mwelekeo wa kanda ya nyanda za juu kusini.

kampeni ni kuwafikia wananchi walio wengi zaidi ktk maeneo yao na sio kuwakusanya ktk maeneo ya mijini.
Mkuu, popote waendapo lkn watu wanafuatilia alipo mpeperusha bendera wa nafasi ya uraisi, na anamwaga sera zipo ili kukidhi matarajio yao ya kisekta. Waongee chochote kile lkn ni lazima wawe na majibu kuhusu matatizo ya wafanyakazi, wakulima, wafanyabiashara, wazee, ajira kwa vijana na makundi mengine ya kisekta kutokana na umuhimu wake.

Changamoto nyingi zilizopo ktk makundi haya ya kisekta zimeanzishwa na serikali hii kwa kuendekeza maendeleo ya vitu badala ya maendeleo ya watu. Sasa kuja na sera zilezile za maendeleo ya vitu kwa miaka mingine mitano ijayo, itakuwa ni sawa na kutaka kujaribu kuwalambisha sumu ili wajue kuwa ni tamu ama chungu, wakati wao wanatambua hicho ndicho kitakuwa chanzo cha vifo vyao.
 
angalau watanzania tunakubali kuwa Magufuli kweli kaleta maendeleo ya vitu, sina uwezo sana wa kutofautisha kati ya maendeleo ya vitu na maendeleo ya watu!! lakini angalau kwa miaka yake 5 ameweza kufanya mambo ambayo hayajawahi kufanywa na utawala wowote uliopita, kwa maoni yangu hii tu inatosha kuthibitisha na kumuamini Magufuli kuwa anaweza kufanya au kuleta maendeleo ya watu na vitu au vitu na watu na zaidi ya hayo
 
Jamuhuri imetapika kampeni ya kisayansi
20200902_163841.jpg
20200902_163801.jpg
20200902_163500.jpg
20200902_163440.jpg

Mkoa wenye wabunge maarufu Tanzania

Hapa jamhuri kampeni zinapigwa huku watu wakila bata uwanjani
 
Zungukeni nchi nzima ila wananchi sisi hatuta wapigia kura Yani. Hatuwezi vumilia kufa njaa wakati nchi yetu ni tajiri, Kodi tunalipa, hafu mnaenda kununua ndege, kujenga barabara.
Tatizo lako ni ubongo wako unahitaji kuamshwa ili uelewe maana ya maendeleo.
 
JPM hiyo ni sera au kula, tunataka kusikia sera na si vipasho vya kwenye vijora huko mitaanini mzee. Wewe unaonekana ni kiongozi dhaifu kuliko hata huyo uliyetaka kumpeleka kibra, na sasa yupo hai kabisa, Lissu alienda ulaya kupata matibabu na sio km unavyotoa sababu zako za kimbea, ingependeza tukisikia ukiomba msamaha kwa watanzania kwa kushindwa kuweka wazi mpaka sasa ni nani aliyehusika ktk tukio la kutaka kumuua Lissu, napia ulitakiwa kuomba radhi kwa kushindwa kuufanya mji wa dodoma kuwa salama kuliko mahali popote pale, maana tukio lilitokea dodoma, ambapo ni makao makuu ya nchi.
 
Mkuu hakuna mwaka rahisi km huu tunapiga kampeni huku tukila bata

Yaani kampeni inapigwa huku mkipata burudani

Back
Top Bottom