Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Salum Mwalimu nae atangulie tuone Kati Yake na Hashim Rungwe Nani zaidi.
 
Usinifokee tafadhali! Wewe kama huna chakula ni uvivu wako!

Yani unataka kwa vile hupandi ndege basi zisinunuliwe mpaka uwe na uwezo wa kupanda?

Ujinga wa wapi huu
Ndege tungeacha kwa private sector tukusanye kodi, investment iliyofanyika hatujui lini tuna break even, atleast tungenunua meli za mizigo mazao yetu yauzwe nje kwa faida ooops!!Hivi hii si ndio ile serikali inayotuzuia kuuza "mahindi" nje kwa bei nzuri?
Sukari vipi bei imekuwa 1800/- kwa kilo, korosho je?milioni hamsini kila kijiji?Chuo cha madini Shinyanga?Viwanda vya maziwa na nyama?
Hata wakishinda na mbinu zao za "kisayansi" yani kitapeli atlest tumeshamjua anaetufanya tuwe masikini.
 
mimi sio mshabiki wa chama chochote ila nafuatilia tu kampeni za vyama vyote jinsi wanavyo pambana kutafuta kura....
kura ni kampeni na kampeni ni mipango ya kisayansi ya kutafuta kura nyingi
Hahaha vituko hivi sasa, sayansi gani iko kwenye kampeni?
ccm mnashida sana, ila sio ngumu kuwaelewa, mnapokosa hoja mnakosa vyama.
 
Jua literemke liwachome Wale (Wapinzani )-Mama samia
Namuhurumia sana huyu mama (Cheupe kama amwitavyo magu) kwa kuwa makamu wa kipindi kimoja kisha kufurushwa kwenye makazi (mfano wa talaka) kwa makosa ambayo sio yake bali ya huyo bosi wake ambaye kwa sasa no kipindi kizuri cha kujisafisha lakini anamwaga upoloto mtupu.
Watu watakapokuwa wamechoka na nyimbo zilezile za Diamond, Kiba, Zuchu nk hakika atajibeba maana atakuta mikutano yake inahudhuriwa na viongozi wa ccm na vuvuzela watupu
 
Ndugu yangu chakaza acha kuishi kwenye kivuli cha uwongo unazitesa seli zako

Kiufupi hakuna mwaka rahisi km huu mchana Nimekuwa turiani Yaani watu hata hawataki kusikia habari za yule msaliti wa Nchi aliyepewa dola na Mabeberu aiuze Nchi
 
Nimeonana na watu wa tatu mmoja hajavaa sare ya chama ametaka kupiga picha na mimi nimemkatalia

Macomrade waliovaa sare tumechukua picha ya kumbukumbu
Daah ningekuwepo hapo uwanjani ningekomaa mpaka nikuone Bia yetu.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…