Bia yetu
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 6,921
- 8,321
Unapinga hadi madaraja? Kweli Wapinzani mmekaribia kuchanganyikiwa[emoji3]
Ccm raha
Ccm raha
Vipi mandege na Madaraja mbona hayawabebi tena wananchi wameona ya kawaida tu kwani hata mkolonii alijenga