Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Nashukuru kujua umeshakubali CCM kama chama cha siasa hakina tena mvuto Tanzania, kimeshachakaa, na hao vijana siku ya kupiga kura wote huchagua upinzani ndio maana kila wakati nyie mnaiba kura tu.
Hujaelewa content ya jamaa..maana yake hao wasanii vijana wanaiounga ccm wanawakilisha kundi kubwa la vijana wanaioiunga ccm ila wamekosa platform ya kuonyesha namna wanavyoiunga sababu sio wasanii.. zaidi watapata nafasi kwenye box la kura
 
Mimi nilijua vijana wameona utendaji kazi wa JPM,kumbe unamaana wasanii ndio chambo ya vijana kumpigia kura!!😁😁😁
Mataga wenzako kwenye hili watapita tu bila kutia neno,unamuaibisha JPM!
Yani mataga wamebananishwa kwenye kila angle na Lissu wako desperate hadi wanaona wasanii wa bongoflava kujaa kwenye majukwaa ya CCM ndiyo kete pekee ya ushindi wa CCM 🤣🤣🤣
 
Mvuto unaudefine vipi?
Kweli wee jingalao ..watu wanaenda kuwashangaa wasanii ..na ndo maana mkutano wenu watoto wadogo ndo wengi mnoo ...mnalazimisha hadi shule zifungwe ili wahudhurie mikutano ya ccm [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hiyo kupitia hao wasanii wenu maandazi, vijana wetu watapata ajira!
 
Yani mataga wamebananishwa kwenye kila angle na Lissu wako desperate hadi wanaona wasanii wa bongoflava kujaa kwenye majukwaa ya CCM ndiyo kete pekee ya ushindi wa CCM 🤣🤣🤣
Sio kete pekee nitaendelea kukuletea kete nyingi za ccm
 
Wanao pigiwa kura sio wasanii kumbuka hilo,na sera zinazwa uzwa kwa wapiga kura si za wasanii, wasanii wao wakisha tumbuiza na kuwafurahisha wananchi habari yao imeishia hapo.
 
Acha kujifariji tunaona hati ya kutepeta huku unatudanga labda wake wa but.
 
Umetumia vigezo gani?mnajifariji sana
 
Kwenda kumuona msanii sio kupiga kura
 
Wanao pigiwa kura sio wasanii kumbuka hilo,na sera zinazwa uzwa kwa wapiga kura si za wasanii, wasanii wao wakisha tumbuiza na kuwafurahisha wananchi habari yao imeishia hapo.
Unahitaji wapiga kura waje kukusikiliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…