CCM kumekucha kampeni za nguvu zenye hoja za nguvu zenye ushahidi verifiable tukisema tumefanya hiki mwenye macho haambiwi tazama Kama ndege anaziona live,Kama hospital anaziona live ,Kama barabara anaziona live Kama elimu bure anaona live.kama Umeme Hadi vijijini anaona live
Ahadi za CCM sio hewa Kama za upinzani za Ohhh tukishika kila mtanzania atakula ubwabwa!!! Oh tutahakikisha kila mtanzania akitaka kuporomosha matusi anaporomosha atakavyo!!! Ahadi za kitapeli tapeli hewa!!!!
Kama mmefanya yote hayo kwann mnajitipitisha bila kupingwa, kwann wanaowaokosoa wanakipata cha moto...uhuru wa habari hakuna ...ujue miaka mitano yote ni madudu tu hakuna mlofanya
Maendeleo kwanza blah blah baadae.
CCM oyeee.
Ufanye makosa makusudi halafu Tume ikuache. Ndoto. za alinacha
Hizo manii baba ako bora angemwaga baharini samaki wale kuliko kiumbe kilichopatikana...
Mgommea wetu sisi wananchi tunayempenda tunaomba mumupe ushauri jamani tunaangalia tv hadi tunazima kwa woga maana sasa huo si ubabe, yanini kuanza kuzungumzia kubomoa nyumba za watu tena anawaambia hamtalipwa kipindi hiki cha kampeni?
Si tulijiwekea mkakati wa kupata 98%, kwanini mnataka zishuke wewe Polepole na Bashiru au hamjui majukumu yenu.
Hata mtume Paulo alipokwenda Galatia alikula na kufanya kila walichofanya kule Galatia na alipofika Ntwala alikula ile mipanya kama wao na alipofika Rumi pia alikuwa Mrumi hili Injiri ifike, 0vipi mnamwacha mzee anaanza kula vyakula vya Ikulu akiwa field? Angalieni bwana msije mkaja tuangusha kijinga kisa hamtambui majikumu yenu. Kila jambo linawakati wake, kunawakati wa kulima, kupanda, kupalilia, kuvuna na hata kuanza kula.
Bashiru na Polepole tafadharini sana tunaomba mjirekebishe, huo mkakati wenu we kupunguza kura za Rais tumeustukia.
Dangerous precedence!Hata Tundu Lisu alianzia huko.....kanda ya ziwa ina kura zaidi ya milioni 10!
Watapata kura za wake na waume zaoWazee wa kutaka kuongoza wkt hawapendwi kabisa....
Hakuna mtz mwenye akili timamu anaweza kupigia kura ccm
Ndio Vilaza huongea hivyoWazee wa kutaka kuongoza wkt hawapendwi kabisa....
Hakuna mtz mwenye akili timamu anaweza kupigia kura ccm
Mkuu uwe na akiba ya maneno.Ficha upumbavu wako. Magufuli Hatoi Ahadi za Danganya toto....
Magu hajulikani lazima afanye kazi ya ziada.CCM chini ya rais Magufuli walitamba Sana kwamba mwaka huu hakuna haja ya kufanya kampeni kwani mgombea wao anakubalika Sana na wananchi...