CCM kumekucha kampeni za nguvu zenye hoja za nguvu zenye ushahidi verifiable tukisema tumefanya hiki mwenye macho haambiwi tazama Kama ndege anaziona live,Kama hospital anaziona live ,Kama barabara anaziona live Kama elimu bure anaona live.kama Umeme Hadi vijijini anaona live
Ahadi za CCM sio hewa Kama za upinzani za Ohhh tukishika kila mtanzania atakula ubwabwa!!! Oh tutahakikisha kila mtanzania akitaka kuporomosha matusi anaporomosha atakavyo!!! Ahadi za kitapeli tapeli hewa!!!!
Kama mmefanya yote hayo kwann mnajitipitisha bila kupingwa, kwann wanaowaokosoa wanakipata cha moto...uhuru wa habari hakuna ...ujue miaka mitano yote ni madudu tu hakuna mlofanya