Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

CCM kumekucha kampeni za nguvu zenye hoja za nguvu zenye ushahidi verifiable tukisema tumefanya hiki mwenye macho haambiwi tazama Kama ndege anaziona live,Kama hospital anaziona live ,Kama barabara anaziona live Kama elimu bure anaona live.kama Umeme Hadi vijijini anaona live

Ahadi za CCM sio hewa Kama za upinzani za Ohhh tukishika kila mtanzania atakula ubwabwa!!! Oh tutahakikisha kila mtanzania akitaka kuporomosha matusi anaporomosha atakavyo!!! Ahadi za kitapeli tapeli hewa!!!!

Kama mmefanya yote hayo kwann mnajitipitisha bila kupingwa, kwann wanaowaokosoa wanakipata cha moto...uhuru wa habari hakuna ...ujue miaka mitano yote ni madudu tu hakuna mlofanya
 
Kama mmefanya yote hayo kwann mnajitipitisha bila kupingwa, kwann wanaowaokosoa wanakipata cha moto...uhuru wa habari hakuna ...ujue miaka mitano yote ni madudu tu hakuna mlofanya

Maendeleo kwanza blah blah baadae.
CCM oyeee.
Ufanye makosa makusudi halafu Tume ikuache. Ndoto. za alinacha
 
Hizo manii baba ako bora angemwaga baharini samaki wale kuliko kiumbe kilichopatikana...

Hahahahaha. Mchakato wa kumwagia manii baharini Naona upo kwenu.
Kwa wastaarabu na waungwana kwetu sie haupo na haiwezekani kwa Mwenye akili timamu.
Hata hivyo nakushukuru kwa kunitukana hivyo nakuombea baraka kwa Mungu akupe unachostahili.
ILA tambua CCM imeenea kila mahali kwa ngazi zote hivyo hamuiwezi.
Tazama hata unavyotoa matusi kwa mtu asiye na kisa na wewe. Badala ya kutoa hoja mbadala.
Watanzania waoneni hawa wenzetu walivyo washari.
 
Nikiwa kijiji kwetu 2000 wakati huo hata hadhi ya kuwa kijiji ilikuwa bado wakati wa kampeni CCM waliwaambia wanachi kuwa kuchagua chama pinzani ni sawa na kuchagua vurugu na nchi ikiingia kwenye machafuko wamama na watoto ndio watakaopata shiida.
2005, nikiwa tena pale kijijini CCM walipokuja kuomba kura walirudia tena maneno kama yale, 2010 Kikwete akiwa mgombea kwa mara ya pili alipokuja wilayani kwetu alirudia maneno kama yale.
Juzi nilimsikia Magufuli akiwaambia wananchi wasiichezee amani ya nchi kwa kumchagua mtu kwa majaribio. Wamchague yeye na wagombea wengine wa CCM. Wengine watawatia kwenye machafuko.
Basi ni vyema muwaambie hao wananchi jinsi wapinzani wstakavyoleta vita mara tu wakiingia Ikulu.
Msitumie ujinga wa wananchi kuomba kura please.
 
Hilo haliba ubishi hata kidogo........

Hata ukimuuliza mtoto mdogo anayesoma chekechea, atakwambia kuwa CCM ndiyo chanzo cha uvunjifu wa amani nchi hii........

Hivi ni nani asiyejua kuwa Jeshi la Polisi nchini, ndilo linalowaficha wale wahalifu, wanaojulikana kwa jina la *watu wasiojulikana" na ndiyo chanzo cha watu hao waendelee kutojulikana kwa wananchi, lakini Jeshi hilo likiwa linawatambua?
 
Mgommea wetu sisi wananchi tunayempenda tunaomba mumupe ushauri jamani tunaangalia tv hadi tunazima kwa woga maana sasa huo si ubabe, yanini kuanza kuzungumzia kubomoa nyumba za watu tena anawaambia hamtalipwa kipindi hiki cha kampeni?
Si tulijiwekea mkakati wa kupata 98%, kwanini mnataka zishuke wewe Polepole na Bashiru au hamjui majukumu yenu.

Hata mtume Paulo alipokwenda Galatia alikula na kufanya kila walichofanya kule Galatia na alipofika Ntwala alikula ile mipanya kama wao na alipofika Rumi pia alikuwa Mrumi hili Injiri ifike, 0vipi mnamwacha mzee anaanza kula vyakula vya Ikulu akiwa field? Angalieni bwana msije mkaja tuangusha kijinga kisa hamtambui majikumu yenu. Kila jambo linawakati wake, kunawakati wa kulima, kupanda, kupalilia, kuvuna na hata kuanza kula.

Bashiru na Polepole tafadharini sana tunaomba mjirekebishe, huo mkakati wenu we kupunguza kura za Rais tumeustukia.
 
Ccm haitegemei kura za wananchi kukaa madarakani, bali madaraka ya urais ndio yanawapa ushindi. Hao akina Polepole hilo wanalijua, hivyo hawawezi kushauri chochote maana ushindi sio wa ushawishi.
 
Wazee wa kutaka kuongoza wkt hawapendwi kabisa....

Hakuna mtz mwenye akili timamu anaweza kupigia kura ccm
 
Ficha upumbavu wako
Magufuli Hatoi Ahadi za Danganya toto
Nenda kasikilize mropokaji wenu
Magu anao Watanzania wakutosha sio mamluki kama nyie
 
Ficha upumbavu wako. Magufuli Hatoi Ahadi za Danganya toto....
Mkuu uwe na akiba ya maneno.

Ukiraruliwa utaanza kuona watu sio wastaarabu. Ukiita wengine waropokaji nao wakianza kuandika kuhusu wa 'upande wa pili' sidhani kama utakuwa na amani.

Tuvumiliane na tuwe na staha.
 
CCM chini ya rais Magufuli walitamba Sana kwamba mwaka huu hakuna haja ya kufanya kampeni kwani mgombea wao anakubalika Sana na wananchi

Magufuli alizuia siasa za upinzani kwa miaka 5 ,miaka hii yote alikua akisikika yeye na kutamba yeye kwenye vyombo vya habari

Cha ajabu mwaka huu CCM wanatumia nguvu kubwa na gharama kubwa kumnadi mgombea wao walietamba kwamba anakubalika na wananchi

Jiji la mwanza kila uchochoro,kila nguzo ya umeme,kuta za nyumba na mabango makubwa yote wamejaza mabango ya CCM kumnadi Magufuli

Hii inaonesha CCM na Magufuli wake hawapendwi ila wanatumia mabavu na ubabe kulazimisha kupendwa

CCM mlishachokwa kitambo Sana na wananchi ila mnalazimisha tu kutawala

Wananchi wanahitaji uhuru,haki na maendeleo yao. CCM kwa miaka yote mliotawala mmeshindwa haya yote ila ni ubabe,ufisadi,wizi,ulaghai na uongo uongo kwa wananchi ndo mlichoweza kwa Tanzania

Bado umaskini ni wa kutupwa,huduma za maji na afya ni za shida halafu mnakuja kuwahadaa wananchi maasuala ya ndege ,Watanzania wanataka maendeleo.
FB_IMG_1599648137900.jpg
 
Lumumba hali ni mbaya sana; hata mie nimeshangaa sana hata viunga vya dar huku ni kijani kila kona, sasa najiuliza jamaa kaona nini? au anahisi atashindwa vibaya sana. Cha ajabu sijaona bango la mpinzani au Lissu hata moja, hii inaitwa kushikwa pabaya.
 
Back
Top Bottom