Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Singida kwa Lisu wanakotegemea kuuza alizeti wataongoza kwa umaskini TanzaniaMe mwenyewe naipinga sera ya majimbo.
Kwenye ratiba ya NEC umeona kuna siku ya mdahalo... Tunakimbizana na muda, Tunatekeleza.Mulizeni Kama anaweza kujibu hoja za lisu kwa nn ataki mdahalo?
Lakini yeye ni sawa kutugawa kikanda? Aache kutufanya wajinga.. Alipo sema hataendeleza baadhi ya mikoa kwa sababu hawaku mpa kura yeye alikuwa ana tekeleza mustakabali gani? Huyu baba kawehuka..Akiwa Urambo JPM amewaonya watanzania kuwakataa wanaohubiri kuigawa nchi katika majimbo, sera hiyo ni hatari kwa mstakali wa umoja wa Taifa letu,amesema sera hiyo ni ubaguzi mtupu kwani majombo masikini yatabaki maskini.
Umelazimishwa kumchagua au kiherehere tu?Asituchagulie wa kutuongoza yeye hana hati miliki ya Tanzania.
Kuna hela zitatoka central government kwa akili ya miradi ya maendeleo kama jimbo halijitoshelezi.Singida kwa Lisu wanakotegemea kuuza alizeti wataongoza kwa umaskini Tanzania
Sio mikoa bali majimbo usimuwekee maneno mdomoni...Lakini yeye ni sawa kutugawa kikanda? Aache kutufanya wajinga.. Alipo sema hataendeleza baadhi ya mikoa kwa sababu hawaku mpa kura yeye alikuwa ana tekeleza mustakabali gani? Huyu baba kawehuka..
Sasa hivi hazipo eti eeehh?Kuna hela zitatoka central government kwa akili ya miradi ya maendeleo kama jimbo halijitoshelezi.
Upo sahihi mkuuAsituchagulie wa kutuongoza yeye hana hati miliki ya Tanzania.
Mshenzi sana bwana yule, yeye anaigawa nchi kikanda halafu anakuja na upupu wake hapa, tumkatae jpm kwa nguvu hatufaiAsituchagulie wa kutuongoza yeye hana hati miliki ya Tanzania.
Hii ya kwake ya mikoa mbona imeshindwa kuondoa umaskini?Akiwa Urambo JPM amewaonya watanzania kuwakataa wanaohubiri kuigawa nchi katika majimbo, sera hiyo ni hatari kwa mstakali wa umoja wa Taifa letu,amesema sera hiyo ni ubaguzi mtupu kwani majombo masikini yatabaki maskini.
Tena kavurugwa haswaa na misukule ya gwajiboy, atupishe muda tuliompa unatosha, ngoja tuwape wengine nao tuone watatufikisha wapiLakini yeye ni sawa kutugawa kikanda? Aache kutufanya wajinga.. Alipo sema hataendeleza baadhi ya mikoa kwa sababu hawaku mpa kura yeye alikuwa ana tekeleza mustakabali gani? Huyu baba kawehuka..
Kwanza atuambie anaelewaje anaposikia mfumo wa majimbo??? Anadhani ni majimbo haya ya uchaguzi au Majimbo ya kuunganisha mikoa anayomaanisha Tundu Antiphas Lissu???Akiwa Urambo JPM amewaonya watanzania kuwakataa wanaohubiri kuigawa nchi katika majimbo, sera hiyo ni hatari kwa mstakali wa umoja wa Taifa letu,amesema sera hiyo ni ubaguzi mtupu kwani majombo masikini yatabaki maskini.
Majimbo na mikoa vinatofautiana nini?Akiwa Urambo JPM amewaonya watanzania kuwakataa wanaohubiri kuigawa nchi katika majimbo, sera hiyo ni hatari kwa mstakali wa umoja wa Taifa letu,amesema sera hiyo ni ubaguzi mtupu kwani majombo masikini yatabaki maskini.
... hakuna eneo la Tanzania ambalo ni maskini kwa asili yake; ni sera mbovu ndizo zimepelekea umaskini wa kutisha kwa baadhi ya maeneo kama sio nchi nzima. Nchi hii ni tajiri kila mahali - watu wapo; ardhi ipo tele kila mahali! Changamoto iko kwenye SIASA SAFI na UONGOZI BORA - as simple as that!Akiwa Urambo JPM amewaonya watanzania kuwakataa wanaohubiri kuigawa nchi katika majimbo, sera hiyo ni hatari kwa mstakali wa umoja wa Taifa letu,amesema sera hiyo ni ubaguzi mtupu kwani majombo masikini yatabaki maskini.