Mkuu Damballa
Member
- Apr 26, 2025
- 65
- 64
Na atamaliza muda wake kwa kuleta maendeleo makubwa sanaView attachment 3466433
Bora tujifunze reality na watanzania tuache kuwa pessimistic.
Pamoja na figisu zote, hakuna kitakachomzuia mama Samia kuwa Rais wa kipindi kingine cha miaka mitano.
Bora tukawa na uelewa huo na kuukubali.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!
( psssst.........usitukane please)
Not verses,it is versusWe need to see after election, expectations verses realities
View attachment 3466433
Bora tujifunze reality na watanzania tuache kuwa pessimistic.
Pamoja na figisu zote, hakuna kitakachomzuia mama Samia kuwa Rais wa kipindi kingine cha miaka mitano.
Bora tukawa na uelewa huo na kuukubali.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!
( psssst.........usitukane please)
Mkuu Jidu, Jidu La Mabambasi , kwanza naunga mkono hoja, ni kweli hakuna kitu kitakachomzuia mama Samia kuwa Rais wa kipindi kingine cha miaka mitano, ili mradi awe ni yeye aliyepewa kibali na YEYE. Pre GE2025 - Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!View attachment 3466433
Bora tujifunze reality na watanzania tuache kuwa pessimistic.
Pamoja na figisu zote, hakuna kitakachomzuia mama Samia kuwa Rais wa kipindi kingine cha miaka mitano.
Bora tukawa na uelewa huo na kuukubali.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!
( psssst.........usitukane please)
Hilo siyo tatizo ili jiulize inchi inatafunwa na vitoto vidogo fiisadi unawekwa kweupe wa mabilioni wya watoto wa Viongozi yaani tumekuwa wapumbavu kuliko watu wote wa bara la Afrika sababu ya huyo mama yenu na tunadharauliwaView attachment 3466433
Bora tujifunze reality na watanzania tuache kuwa pessimistic.
Pamoja na figisu zote, hakuna kitakachomzuia mama Samia kuwa Rais wa kipindi kingine cha miaka mitano.
Bora tukawa na uelewa huo na kuukubali.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!
( psssst.........usitukane please)
Figisu afanye yeye alafu ujifikirishe kuwa amefanyiwa, anayefunga wenzake ili wanyongwe hadi kufa nani?View attachment 3466433
Bora tujifunze reality na watanzania tuache kuwa pessimistic.
Pamoja na figisu zote, hakuna kitakachomzuia mama Samia kuwa Rais wa kipindi kingine cha miaka mitano.
Bora tukawa na uelewa huo na kuukubali.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!
( psssst.........usitukane please)
Nipo huku washaanza keleleWasalimie hapo singida
usipoongea na kuongezeka ufisadi awamu yake, uchambuzi wako unakosa uhalali!Mnyongeni ila haki yake mpeni,bi mkubwa ameajiri hasa sekta ya elimu na afya,miundo mbinu inajengwa maeneo mengi,kama dar 40% iko kwenye ujenzi wa barabara,hakuna mtimilifu ila bi mkuu anapambana