GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu na Dkt. Emmanuel Nchimbi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
kushinda atashinda maana hana mshindani ila uwo ushindi mkubwa sjui ndo ushindi gan wakat huna wakushindana nae

Ata iyo nguvu wanayoipokeza kufanya kampeni izo pesa wangepeleka tu kwenye kujenga ofisi za Ccm za kata
 
Wewe endelea kuchezea mbususu ya mkeo
 
Swali mjaribu,
Samia anashindana na nani, wa chama gani?
 
Kwa nini asishinde wakati anashindana na Yeye Mwenyewe
 
Urais alionao hadi sasa ni kama kauokota tu , hata huu atakaoshinda ni sawa na kuuokota tu.

Hakuna mwanasiasa muoga kama huyo.
 
Atashinda akishindana na nani
 
Sasa kama atashinda unakuja kutupigia kelele hapa nini?Kanywe nae chai
 
Amewaza baada ya kushinda atafanyaje? Au anataka ashinde kwanza ndipo aanze kufikiri atasongaje mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…