Special Thread: Tujikumbushe matukio ya zamani ya wasanii wa Bongo Fleva

Ray c akila penzi nono mwisho mwampamba yan enzi hizo namuona ndio mwanamke pekee ulimwenguni mzuri...eti leo teja! Maisha safari ndefu ulo nyuma usisimame endelea kuja wapo utakaowakuta na utakaowapita
Huwezi panda bas na ni lazima uende hata kama huna nsuli.
 
2. Ilikuwa uzinduzi wa album ya 'ugali' diamond jubilee
7. Ilikuwa ni show ya TTCL prepaid wilaya ya Ilala. Pia zilifanyika tmk na kino pale Biafra
 
Dah ray c ametoka mbali mnoo nakumbuka nilianza kumsikia akiwa presenter wa clous FM .

Badae nikajaga kumsikia anaimba

Akaja akijiita kiuno bila mfupaaa dah leo hii eti amekuwa tejaaa ni KWELI MAISHA safali ndefuu


Siku hizi anapiga debe Mwananyamala.
 
Daah kalapina alikuwaga mtata sana ila mwisho wa maneno ilikuwa dudubaya alivyompiga Mr.nice hadii akamvunja kiuonoo.

Bila kusahau kuna msanii kwa jina Steve to k alipigwagaaa kisu hadi kifoo sijui wangapi wanamkumbuka
Dah! naikumbuka hii jamani, alichomwa kisu cha tumbo
 
Umekosea kidogo wakikuwa wanatoka kwenye fiesta moro wakielekea kwenye kuadhinisha miaka 25 ya ndoa ya wazazi wake na vivian pia ili complex kutambulishwa
 
Father G!?
 
Bado yupo vizuri huwa naona anatupia picha kwenye page zake
Daa huyu mdada Mimi nimeanza kumfahamu nikiwa darasa LA tano enzi anaigiza na kina doctor cheniiii hadi anatoka na Juma naturee miaka ya 2000.

Lakini hadi Leo hii mtoto Bado analipaa Mimi nilijua kashazeeka kumbe ndo kwanza mtoto mbichii
Yaani hapo unaweza ukakuta mtoto ana miaka 40 lakini utasema yupo under 18
 
Sinta was a hot chick in town acheni tu, halafu msisahau walioigiza ile filam ya girlfriend akina ay, gk, tid, monalisa
 
Back then walikuepo akina stara thomas, na solo thang na muziki wa zouk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…