Acquilina ilikuwa ni OCG ft. Juma NatureKweli nimezeeka. Kuna vijana wawili walikuwa wakisoma mlimani huku wakifanya muziki. Mmoja alikuwa Engineering akadico alikuwa akitamba na wimbo unaitwa Acquilina. Mwingine aliimba wimbo uliovuma sana "...bure mtakunywa sumu..." aliimba na Stara Thomas. Huyu aliokoka akaacha muziki.
Acquilina ilikuwa ni OCG ft. Juma NatureKweli nimezeeka. Kuna vijana wawili walikuwa wakisoma mlimani huku wakifanya muziki. Mmoja alikuwa Engineering akadico alikuwa akitamba na wimbo unaitwa Acquilina. Mwingine aliimba wimbo uliovuma sana "...bure mtakunywa sumu..." aliimba na Stara Thomas. Huyu aliokoka akaacha muziki.
Ebana Mkuu kuna SONG FLANI LILIKUWA LINAITWAA OYA MSELA OYAA OYAA MSELAA
HIVI UNAKUMBUKA WASHIKAJI WALIOTOA LILE GOMA LILIHIT SANA MIAKA HIYO.
BILA KUSAHAU ULE WIMBO MIMI NI MSELA SIWEZI KWENDA JELA NIKIENDA JELA NINARUDI NA MAHERA DAH HATA MSANII AMENITOKA
Mkuu hiyo ilikuwaga 2003 mi nakumbuka nilikuwaga fom 3
Nakumbuka afande sele alichukuaga ulee mkoko wa mfalme wa rymes 2003 dah saivi watu wamemshamsahauuu .
DaaKuna moja Kalapina na wagumu wenzie walianzisha tamasha la hip hop yule teja wanamwita Chid benzi akajifanya anavamia jukwaa bila kupewa ruhusa alichezea kipondo toka kwa kalapina[emoji116]
John mjema alitoa wachumba 30 ule wimbo [emoji23]Yeah aisee lile kundi lao alikuwepo Steve k alikuwepo john mjema na spider man ,
Lakini mwisho wa Sikh Steve 2k aliuwawa alichomwaga kisuu alikuwa ugomvi yeye na meneja wakee badae john mjema nae alijiuwaa kwa kujichoma kisu kichwanii hili lilikuwa tukio LA kusisimuaaa bila kusahahauu.
Father g yule wa arusha yeye pia alichomwaga kisu akafaa kama unamfahamu alitoaga wimbo hii ni dhambi kwa mwenyezii ukienda YouTube utaukutaa.
Halafu ivi wimbo wa Mimi sio mwizi wa alikuwepo john mjema ivi naweza kuupata wapi
Uswahilini MatolaHivi wale walioimba [HASHTAG]#HAKUVAA[/HASHTAG] KONDOM ni akina nani
Hapo mwishoni kwenye Bongo Fleva isomeke Bongo Hip hop, bongo fleva(neno) alikuja anzisha B12, bongo fleva ilianza na kina DullyMkuu miaka ya 90 hakukuwa kuna msanii anaeitwa SUGU Bali miaka 95 sugu alikuwa akijulikana kama 2 proud na nyimbo iliyomtoaa ilikuwa ni NI WAPI TUNAKWENDA
BUT miaka 97 2 proud alibadilika na kujiitaaa Mr. Two hapo ndipo tulianza kumjua sugu akijulikana kama Mr .two na nyimbo iliyomtoa ilikuwa inaitwa deiwakaa , badae akashusha GWM walimshirikisha katika nyimbo yao ya YAMENIKUTA hapo ndipo nyota sugu ilianza kunga'aa ila yote Tisa nyimbo ya sugu ya MAMBO YA FEDHA akimshirikisha lady jay dee ndo ilikuwa ngoma hatari sana .
Kwa kifupi SUGU ni mmoja kati ya maufounder wa muziki wa bongo flevaaa
Mkuu nazungumziaa Oyaa msela ile ya Mara ya kwanza miaka 1996 tulikuwa tunaangalia ITV na ITV twoo kabla haijaitwaa channel fiveMsela ya kwanza unayoizungumzia ni kundi la Mawingu lakina Othman Njaidi, Msela ya pili ni ya Wateule, harafu kuna ile walifanya wachuja nafaka ft Ngwea. Huo mstari nimeusahau hata nyimbo siikumbuki vizuri....
Hahahah asee those days...Bushoke yanaitwa, nilidaka langu mapema sana.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hahahah asee those days...
Nilikuwa na casset yangu ya national ya spika moja na betry sita... Hatar sana[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kalapina ilikuwa too much alikuwa anajikuta msela nyaaa sana kuna halafu nilikuwa nasikia baba yake alikuwa mejaa jeshinii,kala pina alikuwaga anazingua sana kawazingua sana king'oko, alikuwaga anawaletea sana N2N wakija Dar kupiga show.. kuna siku pale Club billcana Lord eyez akamtolea uvivu aisee hapakutosha Lord naye kumbe ni mtemi bhana daaah alimrushia sana , kalapina akarudi sijui block 41 huko kwenda kuwachukua wenzake. Hii bifu iliendelea sana kwa muda kunakipindi bou ako akataitishwa na washkaji wa kikosi wakiwa na boban.
Wakawekeana mipaka hahahaha kipindi hicho kalapana akawa hafiki arusha ila N2N Wanapiga tu dar fresh.. Umri ushaenda walisha acha mizinguo ila pina alikuwaga ana zingua sana alikuwa anajikuta yeye pekee na kikosi ndo wanafanaya real hip hop
Ndio mkubwaa aiseeeJohn mjema alitoa wachumba 30 ule wimbo [emoji23]