Special Thread: Tujikumbushe matukio ya zamani ya wasanii wa Bongo Fleva

Special Thread: Tujikumbushe matukio ya zamani ya wasanii wa Bongo Fleva

Kweli nimezeeka. Kuna vijana wawili walikuwa wakisoma mlimani huku wakifanya muziki. Mmoja alikuwa Engineering akadico alikuwa akitamba na wimbo unaitwa Acquilina. Mwingine aliimba wimbo uliovuma sana "...bure mtakunywa sumu..." aliimba na Stara Thomas. Huyu aliokoka akaacha muziki.
Acquilina ilikuwa ni OCG ft. Juma Nature
 
Kuna yule kiumbe PigBlack sijui kapotelea wapi ?Kali P nae na lile dude imekaa vibaya?King Crazy Gk na kile kigugumizi chake acha huyu wakuimba leo.Kuna wale jamaa waliimba "mke wa mtu nisumuuu;yah3!!!:usijaribu chombezaa....duuh old school raha sana

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Ebana Mkuu kuna SONG FLANI LILIKUWA LINAITWAA OYA MSELA OYAA OYAA MSELAA

HIVI UNAKUMBUKA WASHIKAJI WALIOTOA LILE GOMA LILIHIT SANA MIAKA HIYO.

BILA KUSAHAU ULE WIMBO MIMI NI MSELA SIWEZI KWENDA JELA NIKIENDA JELA NINARUDI NA MAHERA DAH HATA MSANII AMENITOKA

Msela ya kwanza unayoizungumzia ni kundi la Mawingu lakina Othman Njaidi, Msela ya pili ni ya Wateule, harafu kuna ile walifanya wachuja nafaka ft Ngwea. Huo mstari nimeusahau hata nyimbo siikumbuki vizuri....
 
kala pina alikuwaga anazingua sana kawazingua sana king'oko, alikuwaga anawaletea sana N2N wakija Dar kupiga show.. kuna siku pale Club billcana Lord eyez akamtolea uvivu aisee hapakutosha Lord naye kumbe ni mtemi bhana daaah alimrushia sana , kalapina akarudi sijui block 41 huko kwenda kuwachukua wenzake. Hii bifu iliendelea sana kwa muda kunakipindi bou ako akataitishwa na washkaji wa kikosi wakiwa na boban.

Wakawekeana mipaka hahahaha kipindi hicho kalapana akawa hafiki arusha ila N2N Wanapiga tu dar fresh.. Umri ushaenda walisha acha mizinguo ila pina alikuwaga ana zingua sana alikuwa anajikuta yeye pekee na kikosi ndo wanafanaya real hip hop
 
Kuna moja Kalapina na wagumu wenzie walianzisha tamasha la hip hop yule teja wanamwita Chid benzi akajifanya anavamia jukwaa bila kupewa ruhusa alichezea kipondo toka kwa kalapina[emoji116]

Daa
Mbona kashushwa tuu vitasa habijaonekana sa tuaminijee
 
kauzi katamu...mi nakumbuka jamani niko mbeya kijjini nilikua napenda bongo flava huniambii kitu......nikiagizwa sehemu nikute kuna nyumba inapga ngoma za wagosi wauguzi sijui tanga kunanii nitakaa chini nisikilize kanda nzima .

hahaha halafu nilikua nakujaga dar enz izo primary basi nikija ni kusikiliza radio tuu nikirud mbeya nakusanya kijiji kuwaimbia nyimbo za bongo flava....
 
Yeah aisee lile kundi lao alikuwepo Steve k alikuwepo john mjema na spider man ,

Lakini mwisho wa Sikh Steve 2k aliuwawa alichomwaga kisuu alikuwa ugomvi yeye na meneja wakee badae john mjema nae alijiuwaa kwa kujichoma kisu kichwanii hili lilikuwa tukio LA kusisimuaaa bila kusahahauu.

Father g yule wa arusha yeye pia alichomwaga kisu akafaa kama unamfahamu alitoaga wimbo hii ni dhambi kwa mwenyezii ukienda YouTube utaukutaa.

Halafu ivi wimbo wa Mimi sio mwizi wa alikuwepo john mjema ivi naweza kuupata wapi
John mjema alitoa wachumba 30 ule wimbo [emoji23]
 
Mkuu miaka ya 90 hakukuwa kuna msanii anaeitwa SUGU Bali miaka 95 sugu alikuwa akijulikana kama 2 proud na nyimbo iliyomtoaa ilikuwa ni NI WAPI TUNAKWENDA

BUT miaka 97 2 proud alibadilika na kujiitaaa Mr. Two hapo ndipo tulianza kumjua sugu akijulikana kama Mr .two na nyimbo iliyomtoa ilikuwa inaitwa deiwakaa , badae akashusha GWM walimshirikisha katika nyimbo yao ya YAMENIKUTA hapo ndipo nyota sugu ilianza kunga'aa ila yote Tisa nyimbo ya sugu ya MAMBO YA FEDHA akimshirikisha lady jay dee ndo ilikuwa ngoma hatari sana .

Kwa kifupi SUGU ni mmoja kati ya maufounder wa muziki wa bongo flevaaa
Hapo mwishoni kwenye Bongo Fleva isomeke Bongo Hip hop, bongo fleva(neno) alikuja anzisha B12, bongo fleva ilianza na kina Dully
 
Msela ya kwanza unayoizungumzia ni kundi la Mawingu lakina Othman Njaidi, Msela ya pili ni ya Wateule, harafu kuna ile walifanya wachuja nafaka ft Ngwea. Huo mstari nimeusahau hata nyimbo siikumbuki vizuri....
Mkuu nazungumziaa Oyaa msela ile ya Mara ya kwanza miaka 1996 tulikuwa tunaangalia ITV na ITV twoo kabla haijaitwaa channel five

Achaa hii ya wateule nadhani itakuwa hiyoo ninayoizungumzia
 
kala pina alikuwaga anazingua sana kawazingua sana king'oko, alikuwaga anawaletea sana N2N wakija Dar kupiga show.. kuna siku pale Club billcana Lord eyez akamtolea uvivu aisee hapakutosha Lord naye kumbe ni mtemi bhana daaah alimrushia sana , kalapina akarudi sijui block 41 huko kwenda kuwachukua wenzake. Hii bifu iliendelea sana kwa muda kunakipindi bou ako akataitishwa na washkaji wa kikosi wakiwa na boban.

Wakawekeana mipaka hahahaha kipindi hicho kalapana akawa hafiki arusha ila N2N Wanapiga tu dar fresh.. Umri ushaenda walisha acha mizinguo ila pina alikuwaga ana zingua sana alikuwa anajikuta yeye pekee na kikosi ndo wanafanaya real hip hop
Kalapina ilikuwa too much alikuwa anajikuta msela nyaaa sana kuna halafu nilikuwa nasikia baba yake alikuwa mejaa jeshinii,

Hicho ndo kilikuwa kinamtia jeuri kuna time niliwahi kupita mitaa ya block 41 kinondoni watu walikuwa wanamzungmzia vibaya sana tabia yake ya ukorofi
 
Back
Top Bottom