Special Thread: Tujuane wafuasi wa Neymar de Santos , Na PSG

Special Thread: Tujuane wafuasi wa Neymar de Santos , Na PSG

Samweli Mathayo

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2017
Posts
1,577
Reaction score
1,702
Naanza kwa kuwasalimu sana ndugu zangu wa hapa jf,
Hasa wapenzi wa mchezo wa mpira wa miguu,

Mimi umri umekwenda KIDOGO si kijana , lakin mafuatilia mpira wa miguu,

Leo nimeona bora tuanzishe Uzi wa kumuangalia bwana Mdogo neymar , Na kujiunga kwake PSG Na mafanikio yote anayopata,

Kujiunga PSG kwa neymar ni faida kwa wanamichezo Na wafuasi si kwa neymar TU,

1. Itaenda kumalizia ubabe wa Spain katika masuala ya mpira wa miguu,
2. Naona ubabe wa messi Na ronaldo ukifika kikomo, kwanza kwasababu ya umri wao, Na marginal diminishing returns, yaan wamechoka, wameshaonjja mafanikio ya kila kitu ( ispokuwa kombe la dunia) hivyo hawana utashi wa kujituma tena,
Lakin kwa neyma mi mchanga kwenye soka amahitaji kuyapata mafanikio kama ya wenzake,

KWA TAKWIMU ZA HARAKA UJIO WA NEYMAR PSG KUMEONGEZA MASHABIKI 7,000,000 KWA MAKADIRIO YA CHINI,


Kujiunga kwake si lazima aanze Na mafanikio ya CL, yaan UEFA, Anaweza anza Na ligi kuu, Na makombe mengine Na baadae akaweza kubeba ligi kuu,

Kwa BRAZIL NATIONAL TEAM WAKIFANIKIWA KUFIKA PAZURI NEXT WORLD CUP, ITAMSAIDIA PIA,

SASA TUKUTANE HAPA,

ANGALIA MECHI YA KWANZA YA NEYMAR AKIWA NA PSG,
Kikosi Cha psg
nationality.

No.PositionPlayer
1.GKKevin Trapp
2DFThiago Silva(captain)
3DFPresnel Kimpembe
4MFGrzegorz Krychowiak
5DFMarquinhos
6MFMarco Verratti
7MFLucas Moura
8MFThiago Motta (vice-captain)
9FWEdinson Cavani
10FWNeymar
11MFÁngel Di María
12DFThomas Meunier
14MFBlaise MatuidiNo.PositionPlayer
15FWGonçalo Guedes
16GKAlphonse Areola
17DFYuri Berchiche
18MFGiovani Lo Celso
19DFSerge Aurier
20DFLayvin Kurzawa
21MFHatem Ben Arfa
23MFJulian Draxler
24MFChristopher Nkunku
25MFAdrien Rabiot
27MFJavier Pastore
32DFDani Alves




Samuel
 
Inshort kaka mimi nilikua pande za PSG alivochotwa kijana wangu Angel DiMaria. Kiroho kilidunda walipoanza tetesi za kumtoa bwana mdogo kwa wakatalunya ili wamdake neymar, nilikua nahemea mitungi ya gesi ya Oryx ila nashkuru wa south america hawa wamekutana na naamini hii ya Neymar Cavan na Dimaria itakua triplet hatari sana.
Shabiki namba moja wa Ronaldo, ila naanza kuchepukia kwa mbrazili huyu kwani Ronaldo sasa umri unaanza kumpa talaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Yani neymar ndo aje kuipa mafanikio PSG?

Neymar aje kupata mafanikio akiwa na PSG?

Acha niwakumbushe,
Zlatan ibrahimovich alikuja PSG wakati PSG haijashinda ligi ya ufaransa tangu miaka ya tisini.

- akaiwezesha PSG kushinda ligi ya ufaransa Mara nne (back to back)

- akawa mfungaji bora wa wakati wote wa PSG.

- akafunga magoli 50 katika msimu wake wa mwisho hapo ufaransa.

Lakini msimu huo, hata top ten ya wachezaji waliowania ballon d'or hakuwemo.

Sasa hii miujiza mnayoitegemea kwa Neymar itatoka wapi?

Neymar ni moja kati ya vipaji adimu vya mpira vilivyobaki. Maamuzi ya kwenda PSG ni kwaajili ya fedha, na sio mafanikio ya Mpira!

Mtakapokua mnakutana na wababe wa ulaya kama Madrid, Barca, na vigogo wa uingereza mtaendelea kuonekana average!

Sitegemei mkubali haya mawazo yangu!


- KANA -
 
Back
Top Bottom