body type ni mpya ya version 4..ila mifumo yote ya ndani ya gari ni ya discovery 4..
haina maan aimefunguliwa hapa..laa hii ni kutoka huko huko kiwandani
Kwanini iitwe Discovery 3 . Ikiwa body type ni 4 na mifumo yote ya ndani ni 4 pia
 
CAR : Toyota IPSUM NEW MODEL
YEAR : 2005
ENGINE TYPE : 2AZ VVTI
ENGINE CC : 2360
MILEAGE : 127,269
FUEL : Petrol
TRANSMISSION : AUTOMATIC
SEATS : 7
REGISTRATION : DHH
PRICE : 9M (MILIONI 9 TU)

0677 818283

 
nyumba hizi zipo ukonga kivule
kuna nyumba 2..
moja ina apartment 2 za vyumba viwili sebule public toilet na jiko
nyingine ina apartment 2 zenye Chumba kimoja, sebule na choo ndani
ENEO Lina ukubwa wa 850m²>Eneo limepimwa
Nyumba zipo ndani ya uzio, Parking ipo kubwa
Nyumba ipo mita chache kutoka Main road
WAPANGAJI WANALIPA 150,000 (Wawili) na 100,000 (wawili)
Kwa mwezi unaingiza 400,000/= uhakika
BEI NI MILIONI 85 TU (MAZUNGUMZO YAPO)

0677 818283


 
Nyumba ipo Tabata sanene
Ni nyumba ya vyumba 3 na kimoja master
Uwani kuna vyumba 2 vya ziada
maji yapo 24/7

MPANGAJI ANALIPA 250,000 KWA MWEZI
Nina shida sana BEI ni MILIONI 27 TU.. HAIPUNGUI
gari linafika mpaka kwenye nyumba ilipo..
PARKING HAINA
Umbali ni km 1.5 tu kutoka barabraa kuu ya lami ya tabata segerea

Wasiliana nami 0677 818283

 
Wahitaji wa nyumba mkuje huku, fursa adhimu hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…