Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante mkuu... Haijakopewa popote pale..Pole sana mkuu...bank wanakuja lini? Natania tu
Nimeweka maelezo yoteIna parking?
Nyumba ya 3 kutoka lami.. Haipo bondeni /mlimani.. Kiwanja ni kidogo tu sina sqm exactly.. Yaan hapo nyumba ilipo jaa ndo kiwanja... Haina parking..Naomba maelezo kamili, umbali toka barabara kuu (ya lami), jiografia ya Kiwanja, (kiko bondeni/mlimani nk), ukubwa wa Kiwanja, je kina parking? Inatosha magari mangapi kwa wakati? Je kina mgogoro? Kwanini Bei rahisi Sana?
😂😂😂Wazee wa Bunda!View attachment 1821273