Pole sana mkuu...bank wanakuja lini? Natania tu
 
Ni nyumba 1 yenye apartment 3 unazoweza kupangisha
Kuna
1.chumba self na sebule na jiko
2.chumba self na jiko
3.chumba self tupu

Ipo Tabata Segerea
Bei ni milioni 36 tu
Mawasiliano 0677 818283

 
Naomba maelezo kamili, umbali toka barabara kuu (ya lami), jiografia ya Kiwanja, (kiko bondeni/mlimani nk), ukubwa wa Kiwanja, je kina parking? Inatosha magari mangapi kwa wakati? Je kina mgogoro? Kwanini Bei rahisi Sana?
 
Naomba maelezo kamili, umbali toka barabara kuu (ya lami), jiografia ya Kiwanja, (kiko bondeni/mlimani nk), ukubwa wa Kiwanja, je kina parking? Inatosha magari mangapi kwa wakati? Je kina mgogoro? Kwanini Bei rahisi Sana?
Nyumba ya 3 kutoka lami.. Haipo bondeni /mlimani.. Kiwanja ni kidogo tu sina sqm exactly.. Yaan hapo nyumba ilipo jaa ndo kiwanja... Haina parking..
Inauzwa sababu inahitajika pesa.. hakuna mgogoro wowote
 
NAUZA PLOT MBEZI BEACH AFRICANA (UPANDE WA BAHARI)
Kiwanja kipo mita 300 kutoka main road
Kiwanja kina ukubwa wa sqm 800
Kipo tambarare na kimezungushiwa uzio
HATI MILIKI IPO
BEI NI MILIONI 130 TU (130,000,000/=)
0677 818283


 
Subaru Forester Year: 2008
Cc: 1990
Kilometer 55,107
Colour Blue
Sport rims
New tyres
Gasdruck stop dampfer
LED lights
Music system
Free Registration
BEI MILIONI TSH. 24.8
MAWASILIANO 0677 818283

 
NAUZA PLOT MBEZI BEACH AFRICANA (UPANDE WA BAHARI) - MILIONI 130 TU - 0677 818283
Kiwanja kipo mita 300 kutoka main road
Kiwanja kina ukubwa wa sqm 800
Kipo tambarare na kimezungushiwa uzio
HATI MILIKI IPO
BEI NI MILIONI 130 TU (130,000,000/=)
0677 818283

 
Kiwanja kipo Mbezi Kwa Msuguri sehemu inaitwa Bwaloni.
MBEZI HII YA STAND MPYA YA MKOA
Umbali kutoka Morogoro Road ni kilometer 2 Tu
Viwanja viko sehemu nzuri kweli kweli ni majumba mazuri na makubwa yamejengeka hapo.
VIWANJA NA BEI
Mita 20Γ—20=Million 13.5
Mita 20Γ—25=Million 15.5
Mita 15Γ—20=Million 9

ENEO NI ZURI NA TAMBARARE

0677 818283

 
Ni nyumba 1 yenye apartment 3 unazoweza kupangisha
Kuna
1.chumba self na sebule na jiko
2.chumba self na jiko
3.chumba self tupu

Ipo Tabata Segerea
Bei ni milioni 36 tu
Mawasiliano 0677 818283

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…