Mbona kama msiba bado haujaisha...mmeshaanza mipango ya kuuza mjengo..hivyo viti viti hapo kama kulkuwa na msiba vile
 
Inaonekana iko sehemu inayotunza maji sana kama sikosei.
 
Usicheze na nyumba zingine,,,,
Nasema usicheze na nyumba zingine,,
Ukitaka kuwa salama nunua kiwanja ujenge nyumba yako.

Nyumba zingine zimefukiwa VICHWA vya Kondoo,,,,
Usidhani kulala kwenye hiyo nyumba itakuwa vyepesi vyepesi.

Msije kusema sijawaambia
 
mawazo yako tu potofu.... kila siku nyumba zinauzwa na zinanunuliwa
 
Ungefungua Uzi wako kulizungumzia hilo zama hizi tungeliita USTAARAB.
Lakini kupenyeza Hoja yako ndani ya Hoja ya mwenzako tena anaefanya Biashara hapa hakuna jina lingine ni UCHAWI tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…