INAUZWA Special Thread: Tunauza Viwanja, Mashamba na Nyumba
2.jpg

1.jpg
1.jpg
2.jpg
 
Nauza Plot Hii Ipo mbezi Beach Africana - SEA BREEZE
Njoo ujenge Mall,apartments, Ukumbi na hata makazi ya kuishi kwenye hii Plot iliyopo eneo zuri la kibiashara
Kiwanja kipo Barabarani kabisa PLOT IMEGUSA LAMI
Kiwanja kina ukubwa wa sqm 2,007
Kiwanja kinafaa kwa matumizi ya kibiashara na hata makazi
HATI MILIKI IPO - HAKINA TATIZO LOLOTE
BEI NI MILIONI 400 TU (400,000,000/=)
0677 818283

2.png
3.png
4.jpeg



 
Mjengo huu una vyumba 4 vya kisasa MNOOOO ...vitatu ni self contained na kimoja ni master room

Nyumba Iina servant quater (nyumba ndogo ya pembeni yenye vyumba 2)

Nyumba ina sitting roo 2 moja ipo juu na nyingine chini .. Kuna dining room,public toilet,jiko , bacon pia imezungushiwa fence

Full AC, paving block,garden,Tiles,gypsum, aluminum Slide windows.

Nyumba ipo mbezi beach mtaa mzuri...

Umnali ni mita 300 tu kutoka barabara kuu

Imefanyiwa valuation thamani yake ni MILIONI 950

BEI YA KUUZIA : Milioni 550 (bei ya kuuzia , haina mazungumzo)

TUWASILIANE 0677 818283


Nyumba pia ina

-Car Parking, standby -Genetator is available for 24/7
-Air Conditioning,
-Fire safety
-Swimming pool
-Security 24hrs


1.jpg
2.jpg
3.jpg
4.jpg
5.jpg
6.jpg
7.jpg
8.jpg
9.jpg
10.jpg
 
Back
Top Bottom