INAUZWA Special Thread: Tunauza Viwanja, Mashamba na Nyumba
Angalia umiliki wa mali kama ni halali...
habari ya nyumba nyingine atakayoishi sidhani kama ni juu ya mnunuzi
habari za mauzauza ni mawazo ya kishirikina na kimasikini
ATAONDOKA NA MAUZA UZA YAKE..HAWEZI KUYAACHA
Nafkiri umejibu fair sana.
 
Angalia umiliki wa mali kama ni halali...
habari ya nyumba nyingine atakayoishi sidhani kama ni juu ya mnunuzi
habari za mauzauza ni mawazo ya kishirikina na kimasikini
ATAONDOKA NA MAUZA UZA YAKE..HAWEZI KUYAACHA
Umemjibu vyema sana.
Mtu anauliza kwa nini nauza mali yangu.... Nikikuambia shida nayouzia utanisaidia? Au umbea tu....

Shubhaamiti....

We dalali mstaarabu[emoji2][emoji2]
 
Nyumba ipo goba center km 1 TU kutoka lami
Mjengo mkubwa una vyumba 5 na vyote ni self contained (vyote vina choo ndani)
Pia kuna nyumba ndogo (servant quater) yenye vyumba 2 vyote master
Ukubwa wa eneo lake ni sqm 800 ....HATI IPO
bei ni milioni 450 tu (450,000,000/=)
mawasiliano
0677 818283

6.jpg


1.jpg
2.jpg
3.jpg
4.jpg
5.jpg
 
Nyumba Nzuri sana INAUZWA Tabata BARACUDA MILIONI 160 TU
Nyumba ina vyumba vitatu vikubwa kimoja master
Pia ina Dining na sitting room ya kisasa sana
Jiko kubwa na zuri + parking kubwa ya magari
Nyumba ina hati miliki safi kabisa na haijawahi kukopewa benki
Nyumba ipo karibu sana kutoka barabarani ni mwendo wa dakika 1 tu
BEI NI MILIONI 160 TU......Wahi sasa
🏃
🏃
🏃
🏃

Mawasiliano 0677 818283

1.jpg
2.jpg
3.jpg
4.jpg
5.jpg
6.jpg
7.jpg
8.jpg
 
Back
Top Bottom