INAUZWA Special Thread: Tunauza Viwanja, Mashamba na Nyumba
Mjengo upo mbezi beach upande wa chini Mita 100 tu kutoka lami
Una vyumba 7 vyote self contained
Sitting room 2 juu na chini
Chini kuna dinning jiko na public toilet
Balcon juu ziko 2
Eneo ni sqm 1000 kubwa sanaa..
Ina fremu unayoweza kuweka ya kibiashara
Bei ni milioni 450 tu
Mawasiliano 0677 818283

IMG-20210722-WA0022.jpg
IMG-20210722-WA0021.jpg
IMG-20210722-WA0020.jpg
IMG-20210722-WA0019.jpg
IMG-20210722-WA0018.jpg
IMG-20210722-WA0017.jpg
IMG-20210722-WA0016.jpg
IMG-20210722-WA0015.jpg
IMG-20210722-WA0014.jpg
IMG-20210722-WA0013.jpg
IMG-20210722-WA0012.jpg
IMG-20210722-WA0011.jpg
IMG-20210722-WA0010.jpg
 
Nyumba Nzuri sana INAUZWA Tabata BARACUDA MILIONI 160 TU
Nyumba ina vyumba vitatu vikubwa kimoja master
Pia ina Dining na sitting room ya kisasa sana
Jiko kubwa na zuri + parking kubwa ya magari
Nyumba ina hati miliki safi kabisa na haijawahi kukopewa benki
Nyumba ipo karibu sana kutoka barabarani ni mwendo wa dakika 1 tu
BEI NI MILIONI 160 TU......Wahi sasa
[emoji125]
[emoji125]
[emoji125]
[emoji125]

Mawasiliano 0677 818283

View attachment 1863018View attachment 1863019View attachment 1863020View attachment 1863021View attachment 1863022View attachment 1863023View attachment 1863024View attachment 1863025
Mkuu naitaka hiyo raman, vip naweza ipata?
 
Wataalamu wa majengo naomba kuuliza mjengo kama huo na jinsi ulivyo unaweza kuwekewa mfumo wa elevator au escalator?
 
Back
Top Bottom