Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbali sana kiasi gani?si kweli!!! jengo lipo mbali sana na AIRPORT
Mwenye hii nyumba amebanwa sehemu kifedha sana ndio maana anauza bei iyo.Duhhh Ml 300 !!! wakati uku Sinza kwetu kuna nyumba mbovu mbovu tu ya kubomoa panauzwa Ml 250.
Aisee hii sijui kama itachukua round.....nzuri na cheap...!!Mwenye hii nyumba amebanwa sehemu kifedha sana ndio maana anauza bei iyo.
LINAFAA SANA KWA UWEKEZAJI WA BIASHARA KAMA HOSTEL HIVI
Haina majini au migogoro? Maswala usiku mmelala mnasikia sauti za viatu mtu anatembea kwenye korido [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Bei rahisi Sana- nyumba ya kuanzia bilioni hiyo- Kama haina shida haimalizi wiki- waliobarikiwa wanachukua.
Hyo hela mbona ndogo atakayenunua asije anza tembelewa na popobawa.
Hyo hela mbona ndogo atakayenunua asije anza tembelewa na popobawa.
Haina majini au migogoro? Maswala usiku mmelala mnasikia sauti za viatu mtu anatembea kwenye korido [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Inafikirisha sana maana dah! Nyumba bora iwe na nyufa ila sio iwe na mauzauza usiku ushindwe kulala kwa vishindo vya ajabu ajabumbona bei ndogo sana?!!
kuna tatizo lolote?
Mln.300?!!
au na bei umekosea?
Ila watanzania[emoji119]
Zililetwa hapa nyumba za bei kubwa wanalalamika.. Sasa hivi nyumba inauzwa bei ya hasara bado wanaongea[emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app