INAUZWA Special Thread: Tunauza Viwanja, Mashamba na Nyumba
Mbona kama msiba bado haujaisha...mmeshaanza mipango ya kuuza mjengo..hivyo viti viti hapo kama kulkuwa na msiba vile
 
Nyumba kali sana ipo kimara temboni
Km 1.5 kutoka morogoro road
Nyumba ina vyumba vitatu kimoja master
Nyumba ina servant quarter (kijumba kidogo kingine) ina chumba , sebule na choo chake
Nyumba ina sebule,jiko, choo cha public cha ndani na choo kingine cha nje
Nyumba ina electric fence, fremu ya biashara , parking
BEI NI MILIONI 60 TU (WAHI SASA)
MAWASILIANO 0677 818283
View attachment 1745192View attachment 1745193View attachment 1745194View attachment 1745195View attachment 1745196View attachment 1745197View attachment 1745198View attachment 1745187View attachment 1745188View attachment 1745189
Inaonekana iko sehemu inayotunza maji sana kama sikosei.
 
Usicheze na nyumba zingine,,,,
Nasema usicheze na nyumba zingine,,
Ukitaka kuwa salama nunua kiwanja ujenge nyumba yako.

Nyumba zingine zimefukiwa VICHWA vya Kondoo,,,,
Usidhani kulala kwenye hiyo nyumba itakuwa vyepesi vyepesi.

Msije kusema sijawaambia
 
mawazo yako tu potofu.... kila siku nyumba zinauzwa na zinanunuliwa
 
Usicheze na nyumba zingine,,,,
Nasema usicheze na nyumba zingine,,
Ukitaka kuwa salama nunua kiwanja ujenge nyumba yako.

Nyumba zingine zimefukiwa VICHWA vya Kondoo,,,,
Usidhani kulala kwenye hiyo nyumba itakuwa vyepesi vyepesi.

Msije kusema sijawaambia
Ungefungua Uzi wako kulizungumzia hilo zama hizi tungeliita USTAARAB.
Lakini kupenyeza Hoja yako ndani ya Hoja ya mwenzako tena anaefanya Biashara hapa hakuna jina lingine ni UCHAWI tu.
 
Back
Top Bottom