50m
 
mkuu biashara ya kuuza nyumba inahitaji uvumilivu hasa nyumba za bei kubwa.. sio biashara ya kuweka leo kesho mteja kaja
Sasa chief ukiwakumbusha wateja ni huwa unapandisha bei au inashuka, kumbuka hiyo ni asset hai depreciate.
 
Transaction kama hizo ni online tu ,haina haja ya kutembea na mzigo wote huo.
Sawa ushanunua mjengo baada ya mwaka unapigwa tanchi wanakudedisha hapo getini au njiani .si usenge tu,
Huwezi kujitoa kununua hilo bungalow alafu ufe kifala.
Sijawai kusikia kuna tajiri aliyewekwa kati na hawa wasenge na viboxer vyao wakawatawanya.
Wanaishia kusurrender tu wanaibiwa.
Toka ndani ya gari kwa timming na mashine unapiga shambulio la kushtukiza,chapa risasi za kiuno miguu mabega za kutosha.ukiwaweka chini unawasachi kwanza kisha unaita polisi.
 
Hii nyumba mbona haiuziki kitambo sasa shida NN?!
 
Tupe maelezo ya ukubwa wa eneo ni square miter ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…