FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Unauliza identity yangu au unahoji mamlaka yangu? Mamlaka yangu ni kutoa maoni kama mchangiaji, na maoni yangu ni kukataa hilo...., na sio lazima ukibaliane na maoni yangu, ila utayakubali au kuyakataa kwa hoja, na hiyo ndio maana ya jukwaa. Sasa toa hoja za kukataa maoni yangu au piga kimya, kwamba hiyo bei ni ya kutupa ila bado mwaka mzima haijanunuliwa,hiyo bei ni ya kutupa kweli?! hiyo ndio hoja yangu ya ‘kukukataza’ nikiwa kama ‘mchangiaji’sababu unajipa mamlaka usiyokuwa nayo