FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Unauliza identity yangu au unahoji mamlaka yangu? Mamlaka yangu ni kutoa maoni kama mchangiaji, na maoni yangu ni kukataa hilo...., na sio lazima ukibaliane na maoni yangu, ila utayakubali au kuyakataa kwa hoja, na hiyo ndio maana ya jukwaa. Sasa toa hoja za kukataa maoni yangu au piga kimya, kwamba hiyo bei ni ya kutupa ila bado mwaka mzima haijanunuliwa,hiyo bei ni ya kutupa kweli?! hiyo ndio hoja yangu ya ‘kukukataza’ nikiwa kama ‘mchangiaji’sababu unajipa mamlaka usiyokuwa nayo
toa maoni kisha pita kule sio kupangia watu cha kuandika..Unauliza identity yangu au unahoji mamlaka yangu? Mamlaka yangu ni kutoa maoni kama mchangiaji, na maoni yangu ni kukataa hilo...., na sio lazima ukibaliane na maoni yangu, ila utayakubali au kuyakataa kwa hoja, na hiyo ndio maana ya jukwaa. Sasa toa hoja za kukataa maoni yangu au piga kimya, kwamba hiyo bei ni ya kutupa na bado mwaka mzima haijanunuliwa, hiyo ndio hoja.
unajua maana ya pagala wewee?hilo pagala ndo mjengo wa maana
Ramani ya hiyo nyumbq ntaipataje?mkuu biashara ya kuuza nyumba inahitaji uvumilivu hasa nyumba za bei kubwa.. sio biashara ya kuweka leo kesho mteja kaja
Sijakupangia cha kuandika, nimetoa maoni ya kukataa ulichoandika sababu sio sahihi, kama unapinga basi pinga kwa hoja. Kama huna hoja unapiga kimya.toa maoni kisha pita kule sio kupangia watu cha kuandika..
Hoja nzuri sana hiyo. Maeneo mengi ya Tabata viwanja ni high density. Yaani kuanzia sqm400(20*20) hadi sqm600(30*20). Utakuta nyumba ikisha simama basi kunakua hakuna eneo kubwa la wazi lililobakia kwa ajili ya shughuli nyingineValue 4 money unakuta hiyo bei haiendani na nyumba 150 it's alot tuanze tu kiwanja sqm ngapi, kiko maeneo gani kwa density (medium,high au low), ramani iko up-to-date, finishings etc
uzi wangu siwezi piga kimya....Na ndio nimeshatoa maoni, kama unayapinga then pinga kwa hoja. Kama huna hoja unapiga kimya.
Kabla ya kununua inatakiwa uende kwa majirani upeleleze.....Hii nyumba kila siku inapostiwa ni kwanini haiuziki?
Unaona sasa madhara ya kusoma bila kuelewa? Umesoma alichoandika lakini hujaelewa kabisa, hili ni tatizo kubwa kwa watz walio weng. Amekwambia kuibiwa akiwa ameshanunua nankuhamia kwenye hiyo nyumba, ila wakati anarudi nyumbani kwake ndio anaweza vamiwa akaibiwa 2m huku akiacha nyumba ya 155mTransaction kama hizo ni online tu ,haina haja ya kutembea na mzigo wote huo.
Sio mtu tu sema watuu Mkuu [emoji23][emoji23]We unatania 155m. Pensheni ya mtu hiyo
hoja za jamaa hazielezeki kwa maneno... ni hoja za kujibiwa kwa physical survey (yaani eneo kutembelewa) kuliko maelezoHoja nzuri sana hiyo. Maeneo mengi ya Tabata viwanja ni high density. Yaani kuanzia sqm400(20*20) hadi sqm600(30*20). Utakuta nyumba ikisha simama basi kunakua hakuna eneo kubwa la wazi lililobakia kwa ajili ya shughuli nyingine
Finishing ya nyumba kwenye picha inaonekana iko sawa lakini kuna factors nyingine kama location na neighborhood (kama ni decent au la) n.k ni vitu muhimu kuangalia katika kupanga bei
Kumbuka mnunuzi ataanza kupiga hesabu ya 155m, je akinunua kiwanja kikubwa mahali na anze kujenga nyumba ya ndoto yake against kununua nyumba ipi itakua na advantage kwake na kw namna gani
Kibongobongo naona Real Estate Agents wengi wanfanya biashara ya property hasa real estate kama biashara ya kimachinga. Hawaweki bei kiuhalisia. Wanafanya kama wauza nguo au viatu barabarani. Anakuanzia bei ya kitu elfu 30 mwishoe anakuuzia kwa buku 5
Tena afadhali madalali wa magari maaana angalau magari yana bei zinazojulikana range yake kutegemea na aina, mwaka iliyotengenezwa, rangi, muonekano na uharaka wa muuzaji
Kwa maoni yangu muuzaji angeweka wazi Zaidi vitu ulivyomuuliza
Sijasema upige kimya kwenye uzi wako, bali piga kimya kwenye comment yangu, usiijibu kama huna hoja ya kuipinga. Na nimeshasema sijakukataza, bali nimetoa maoni ya kukataa ulichoandika sababu ni uongo, au ulitaka useme uongo halafu uachwe tu hivi hivi kisa naogopa utasema nimekupangia? Nouzi wangu siwezi piga kimya....
hoja yanguni kwanini unipangie namna ya kuandika?...
halafu unasema TULISHAKUKATAZA, mlinikataza wewe na nana?
haya fungua uzi wako wenye ukweli..ili watu wakusikilize ..Sijasema upige kimya kwenye uzi wako, bali piga kimya kwenye comment yangu, usiijibu kama huna hoja ya kuipinga. Na nimeshasema sijakukataza, bali nimetoa maoni ya kukataa ulichoandika sababu ni uongo, au ulitaka useme uongo halafu uachwe tu hivi hivi kisa naogopa utasema nimekupangia? No
Solution ni kufanya valuation tu, wanasahau mteja wakutoa 155Mil sio mTz wa kawaida huyu atatafuta mwanasheria ashughulikie ishu yote ya ununuzi, sasa ndio hapo anakutsna na ushauri wa kitsaluma anaona bora apige chini hiyo dili.Hoja nzuri sana hiyo. Maeneo mengi ya Tabata viwanja ni high density. Yaani kuanzia sqm400(20*20) hadi sqm600(30*20). Utakuta nyumba ikisha simama basi kunakua hakuna eneo kubwa la wazi lililobakia kwa ajili ya shughuli nyingine
Finishing ya nyumba kwenye picha inaonekana iko sawa lakini kuna factors nyingine kama location na neighborhood (kama ni decent au la) n.k ni vitu muhimu kuangalia katika kupanga bei
Kumbuka mnunuzi ataanza kupiga hesabu ya 155m, je akinunua kiwanja kikubwa mahali na anze kujenga nyumba ya ndoto yake against kununua nyumba ipi itakua na advantage kwake na kw namna gani
Kibongobongo naona Real Estate Agents wengi wanfanya biashara ya property hasa real estate kama biashara ya kimachinga. Hawaweki bei kiuhalisia. Wanafanya kama wauza nguo au viatu barabarani. Anakuanzia bei ya kitu elfu 30 mwishoe anakuuzia kwa buku 5
Tena afadhali madalali wa magari maaana angalau magari yana bei zinazojulikana range yake kutegemea na aina, mwaka iliyotengenezwa, rangi, muonekano na uharaka wa muuzaji
Kwa maoni yangu muuzaji angeweka wazi Zaidi vitu ulivyomuuliza
sio kila document ya kuweka mtandaoni...Solution ni kufanya valuation tu, wanasahau mteja wakutoa 155Mil sio mTz wa kawaida huyu atatafuta mwanasheria ashughulikie ishu yote ya ununuzi, sasa ndio hapo anakutsna na ushauri wa kitsaluma anaona bora apige chini hiyo dili.
Mkuu attach valuation report kuhalalisha bei yako hii itakusaidia kuondoa walakini wa bei na utaonekana upo serious sio kanjanja.
Nifungue uzi mwingine wa kujibu uongo ndani uzi huu ni kuwapa moderators kazi ya kuanza kuunganisha uzi, siwezi kuwachosha bila sababu. Uongo ni huo unaosema kwa bei ni ya kutupa wakati ni mwaka sasa tangu uanze kutangaza na haijanunuliwa, hivi kuna mtu asiyependa kukokota? Means hiyo bei sio ya kutupa, tangaza bei ni milioni 10 ili ujue maana halisi ya bei ya kutupa, Dar nzima itahamia hapo kugombania kununuahaya fungua uzi wako wenye ukweli..ili watu wakusikilize ..
bila kuonesha uongo upo wapi huna hoja..kaa kimyaa
kumbe ndo uwezo wako ulipoishia.....hahahahahNifungue uzi mwingine wa kujibu uongo ndani uzi huu ni kuwapa moderators kazi ya kuanza kuunganisha uzi, siwezi kuwachosha bila sababu. Uongo ni huo unaosema kwa bei ni ya kutupa wakati ni mwaka sasa tangu uanze kutangaza na haijanunuliwa, hivi kuna mtu asiyependa kukokota? Means hiyo bei sio ya kutupa, tangaza bei ni milioni 10 ili ujue maana halisi ya bei ya kutupa, Dar nzima itahamia hapo kugombania kununua
Nishakwambia usinijibu bila hoja, onyesha uwezo wako wewe ulipoishia kwa kujibu hoja, na sijasema nataka nyumba ya milioni 10, usilete mipasho, jibu hoja.kumbe ndo uwezo wako ulipoishia.....hahahahah
sema kama unataka nyumba ya milioni 10 ipo
hoja ni kwamba unataka nyumba ya milioni 10Nishakwambia usinijibu bila hoja, onyesha uwezo wako wewe ulipoishia kwa kujibu hoja, na sijasema nataka nyumba ya milioni 10, usilete mipasho, jibu hoja.